Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani.
Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
This week, ahead of the International Eucharistic Congress in Quito, Ecuador, on September 8th, I invite you to discover the history of Eucharistic miracles on our Vaticano show, from medieval Bolsena to Lanciano’s first miracle, Carlo Acutis’s devotion, and more.
Ahead of the next session of...
Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k
Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia.
Leo jioni mtu anajigamba kuninunulia kahawa elfu moja yani ilivyo chungu halafu hakuna la maana kazi kusema watu na...
Hey, wapendwa
4M inatosha kufungua grocery?
Kama inatosha je vitu gani muhimu?
Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi?
Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu
Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar.
Ili niweze kufahamu...
Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine?
Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu.
Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
Hello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na...
Siku moja nilimsikia mtu mmoja akisema kuwa kama angekuwa na redio kubwa kama ya rafiki yake fulani, asingeenda kunywa pombe baa. Angekuwa anazichukua na kwenda kuzinywea nyumbani kwake akiusikiliza muziki mzito kutoka kwa "liredio" lake.
Miziki pia inaonekana kama ni kitu cha kawaida baa. Hiyo...
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya.
Lakini soda pia niliQuite tangu 2020.
Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio wanakunywa we unatoa macho.
Hivi ndo nilikuwa natumia lakini naona siyo kabisa
1. Maji
Aisee haya...
Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu.
Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda angalau ananionyesha anaujali sana utaifa wetu.
Huu ni mda wakuwapa vijana fursa hawa wazee hawana...
Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.
Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani kutafuta mwarobaini utakaopelekea kupunguza matumizi ya pombe aina ya (sungura) zisizo na vipimo kwa baadhi ya madereva wa pikipiki...
Helloow!!Ladies and gentlemens i hope mko poa sio mwandishi mzuri ila nitaandika hivo hivo cha msingi muelewe Kama kichwa cha habari kinavojieleza
Nilianza unywaji wa pombe toka nikiwa kidato cha sita sasa hivi nina miaka 26. Nilikua nakunywa sana pombe tena mda wote kiasi kwamba hata nikiamka...
Salaam Wakuu.
Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka.
Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile.
Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki?
Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe?
Hii haiwezi kuongeza...
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali.
Akitoka kwenye huduma anapita na bapa, bapa likaweka maskani katika ubongo wake kisha likampotezea...
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF,
Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko Hasi,
Mazingira au Eneo Unaloishi Linaweza Kuchangia Kubadili Tabia/mwenendo wako Hasi Au Chanya
Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.