pombe

  1. ndege JOHN

    Nauliza kwani madhara ya pombe aina ya spirit yanatofautina kutegemea na aina ya pombe?

    Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida. Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
  2. M

    Kuwa bosi isiwe sababu ya kutuhukumu sisi wanywa pombe. Harufu ya pombe sio kulewa. Wewe kutokunywa isiwe kigezo cha kutufokea

    Mkumbuke kuwa tuna stress za kumwaga. Tunarogwa kila kona.Kazini, nyumbani na hata majiani. Sasa mtu akinywa pombe jana alafu asubuhi akanywa maji unyunyu ukatema. Sasa hapo ni kosa? Maana hajalewa ila unyunyu unatema. Mnafoka hovyo kama vile sisi ni watoto wenu. Tunawastahi tu kutafuna Big G...
  3. amshapopo

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali. -Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango...
  4. ndege JOHN

    Kwanini siku ya leo ya pasaka pombe hazileweshi

    Sio mimi peke yangu Bali wadau wote wamezilalamikia pombe za Leo kuanzia bia Mpaka konyagi tumekunywa lakini hatukufanikiwa kulewa Mpaka sasa hizi.
  5. D

    Hii mechi ya Yanga inaitaji pombe kidogo

    Honestly niko na mzee wangu hapa anasema yeye hii mechi lazima aka wake kwanza pombe 🍻🍻mbili tatu ndo anangalia. 90 minutes are very long. bila few drinks na support. ujapiga ganzi kwanza. you move. tupige bia,🍻🍻. it's a failed country any way.
  6. 2 of Amerikaz most wanted

    Tanzania's former John Pombe Magufuli

    Rejected a $10 billion loan from China He didn't go on state trips outside Africa during his term as President of Tanzania He reduced the cabinet's size from 30 to 19, which worked more effective. He Introduced free Education from Primary to Secondary School He believed in the unity of...
  7. J

    Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  8. SYLLOGIST!

    Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  9. N'yadikwa

    Vijana acheni pombe na Energy drinks, mwifwa

    Nimesoma gazeti la Mwananchi jana lenye kichwa cha Habari ukurasa wa mbele kisemacho Pombe, 'energy drinks' zinavyomaliza vijana Kwa mujibu wa hili gazeti wakinukuu wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma ni kwamba:- 1. Vijana Wanne hadi Tisa hufika Hospital hiyo kila wiki...
  10. S

    Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

    Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki. "katika dini yetu...
  11. B

    Aisee kumbe Unywaji wa Pombe unaleta Raha namna hii?

    Ndio maana wanywaji wengi wanafanikiwa na hawapungukiwi. Yaani utakuta Mtu yuko chakali kila siku na sio kwamba ana michongo mikali sana wala nini. Ni kupitia kanuni ile ile kwamb Wanywaji hawapungikiwi. Hata kama hana kitu bado ana matumaini ya kupata. Ukinywa Pombe hakuna usumbufu...
  12. W

    Hakuna Pombe, Sigara wala kukatika katika klabu mpya ya Kikristo. Je unaweza Kwenda?

    Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja. Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna...
  13. Mkalukungone mwamba

    Pombe kali inachelewesha kufika kileleni?

    Pombe kali inachelewesha kufika kileleni?
  14. F

    Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

    Below are African countries with the highest beer consumption per capita: Rank Country Beer Consumption per capita Global Rank 1 Namibia 95.5 L 6 2 Gabon 67 L 25 3 South Africa 60.1 L 28 4 Democratic Republic of the Congo 54.8 L 35 5 Kenya 12 L 52 6 Tanzania 8 L 57 7 Uganda 6 L 58
  15. C

    Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

    Wakuu, Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri. Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.Ndo naanza tena upya hapa, kama unataka nicheki nikutumie hela unywe ka kreti na wewe
  16. Mjanja M1

    Polisi washikiliwa kwa kuuza pombe haramu na kuua watu 17

    Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi. Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
  17. Intelligent businessman

    Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  18. Papaa Mobimba

    KWELI Unywaji wa pombe kwa mjamzito unaweza kupelekea changamoto kwa mtoto atakayezaliwa

    Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona. Baadhi ya...
  19. F

    Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Simai Mohamed Said ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo usiku. Mhe. Simai ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, ametangaza kujiuzulu akisema ni kutokana na kile alichokiita "MAmazingira...
  20. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
Back
Top Bottom