Baada ya malalamiko juu ya stand ya mabus na daladala ya nane nane mbeya sasa mamlaka zimeanza utekelezaji WA changamoto ya ubovu wa miundombinu ya stand.
Wito wangu kwa mammalaka husiku zisisubiri wananchi walalamike wakati Hali halisi inaonekana
Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine.
Sera za mabeberu za kuzifanya nchi zenye viumbe wasiojielewa kuwa tegemezi wa misaada, zimeingeza mmomonyoko wa maadali katika jamii...
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu.
Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa.
Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia,. Tusisahau yaliyo mkuta Chacha wangwe (r.i.p), Zito kabwe n.k. Mwenye kiti hayuko tayari kung'atuka...
Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa.
CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upinzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu!
Hata...
Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi.
Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa?
Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma.
Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo.
Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, imempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, kwa Uongozi wake mahiri na ujasiri aliouonesha katika tukio lililotokea...
Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe.
Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC)
Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha.
Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
Salaam Wakuu.
Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi
Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya?
Twende...
Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC.
Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.