pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  2. L

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  3. Mr-Njombe

    Pongezi kwa Jeshi letu kwa kuimarisha ulinzi na usalama Afrika ya Kati

    Luteni Jeneral Nyone amesema "Toka Kikosi kilipoanza jukumu katika robo ya mwisho ya mwaka 2023 Kimetekeleza majukumu yake ya Ulinzi wa Amani kwa weledi na kuweka mazingira salama na tulivu kwa Wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kuendelea na shughuli za kiuchumi na kijamii na pia kuwezesha...
  4. L

    Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amemmiminia sifa na pongezi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa kuendelea kubeba imani na kuendelea kuaminika na viongozi wenzake Duniani Kwote. Hii ni...
  5. GENTAMYCINE

    Pongezi zangu nyingi sana kwa Watanzania ambao wanawafundisha Lugha ya Kiswahili hawa Wachezaji wa Kigeni hapa Tanzania

    Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
  6. BabaMorgan

    Pongezi kwa wote wanaoishi maisha ya ndoto zao

    Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na amani(peace of mind). Kuna hisia za raha kufanya kitu unachokipenda hakuna ugumu, hakuna kuchoka, ni total...
  7. stabilityman

    Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

    Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
  8. C

    Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  9. L

    Marekani yammiminia Sifa na pongezi Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa Anaendelea kukonga na kukosha mioyo ya watu mbalimbali na mataifa mbalimbali, kutokana na uchapakazi wake pamoja na mapinduzi na mabadiliko mbalimbali ambayo amayaleta katika Secta na maeneo mbalimbali,ambapo yameleta nuru na mwanga katika Taifa letu...
  10. L

    Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  11. mkalamo

    Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  12. GENTAMYCINE

    Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  13. Ojuolegbha

    Salamu za Pongezi kwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) mpya

    Salamu za Pongezi
  14. GENTAMYCINE

    Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  15. Pascal Mayalla

    Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
  16. N

    Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
  17. DR Mambo Jambo

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  18. Comrade Ally Maftah

    Salamu za pongezi kwa Ally Happy

    Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA. Nachukua nafasi hii kumpongeza Ndugu yangu/ kaka yangu Ally Happy kwa kuaminiwa na Dr Samia Suluhu Hasan pamoja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa. kuwa Katibu wa Jumuiya ya wazazi taifa, Comrade Ally Maftah nikiwa kama Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa...
  19. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  20. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
Back
Top Bottom