META wamekata kiu ya wazalendo wengi wa Tanzania. Pongezi kwao.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.

Mange na Maria ni maadui wa hili taifa kwa sasa na hawapaswi kupata platform yoyote mtandaoni kufanya ushetani wao. Binafsi nina furaha zaidi kwa kufungiwa account ya Maria. Huyu bibi hana historia ya kusema jema lolote la serikali ya awamu yoyote. Yeye ni full time employee wa mabeberu kuhakikisha inahujumiwa. Bora Mange alimsapoti Magu kwenye kampeni mwaka 2015 na hata mwanzo mwa utawala wa Mama Samia alimuunga mkono. Ila huyu Maria huwa ni muda wote yupo kazini kuihujumu nchi yake.

Mungu awabariki sana Meta. Ikiwapendeza Meta ifungie account za Lema, Mwaipaya, Hilda, Mwamakula na Bagonza. Hawa pia wanatakiwa warudi enzi za barua na magazeti kutoa maoni yao.
 
Sasa hivi kila mtu aangalie tu familia yake,labda kama unajitoa muhanga
 
Ulipowataja akina lema umevuka mipaka na kuonesha una chuki nao. Wale wote ni wazalendo kama wewe ila sio wanachama wenu. Heshimu maoni yao, META kuwafungia inawezekana wameombwa wawafungie wanaharakati hao na si utashi wao kama kampuni. Usifurahi na kushangilia sana kufungiwa akaunti za wanaharakati hao, wao nao ni wazalendo kama wewe ulivyo mzalendo wa chama chako
 
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.

Mange na Maria ni maadui wa hili taifa kwa sasa na hawapaswi kupata platform yoyote mtandaoni kufanya ushetani wao. Binafsi nina furaha zaidi kwa kufungiwa account ya Maria. Huyu bibi hana historia ya kusema jema lolote la serikali ya awamu yoyote. Yeye ni full time employee wa mabeberu kuhakikisha inahujumiwa. Bora Mange alimsapoti Magu kwenye kampeni mwaka 2015 na hata mwanzo mwa utawala wa Mama Samia alimuunga mkono. Ila huyu Maria huwa ni muda wote yupo kazini kuihujumu nchi yake.

Mungu awabariki sana Meta. Ikiwapendeza Meta ifungie account za Lema, Mwaipaya, Hilda, Mwamakula na Bagonza. Hawa pia wanatakiwa warudi enzi za barua na magazeti kutoa maoni yao.
ikirudi ujakuja tena ?
 
Kufungia watu kuongea ukweli dhidi ya utawala wa mabavu na mbovu siyo suluhisho. Kufungia watu kusema wakati unaendeleza utekaji, mauaji, ufisadi, wizi na uonevu wa kila namna, ni sawa na kuchemsha maji huku umeziba chombo mvuke usitoke, ni lazima utalipukiwa tu.

Watawala wa Tanzania bila kujua wanatengeneza mazingira kama yale yaliyoingiza madarakani Museveni, Kagame, nk..

View: https://x.com/EduTalkTz/status/1996240430120190255?t=NqOqD8ecTn7yfq-Tlfn6Ww&s=35
 
Mwananchi anayechukia nchi yake hana tofauti na Mwizi au Jambazi
Tabia zao haziakisi uzalendo ni tabia za kihalifu
Ni kweli kabisa nchi haina kosa bali ina viongozi wabovu ambao wanatakiwa kujulikana na kuwajibishwa kwa njia halali siyo vurugu
 
Back
Top Bottom