RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji
" Hakuna kama Samia "
Jarida maarufu barani Africa na duniani la" Business Insider Africa "limechapisha taarifa toka benki ya...
Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake.
=======
Jaji: ameshaingia Sasa
Kesi namba 16 Inatajwa
Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
adam kusekwa
hali
kesi
kesi ya mbowe
kesi ya mbowe na wenzake
kutoa
kwao
mashtaka
mbowe
nidhamu
pongezi
septemba
upande
ushahidi
ushahidi kesi ya mbowe
wenzake
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA SAMIA|SAMIA,NASISI TLP TUNAUNGANA NA WATU HAWA,
Ndg Wananchi,
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg FY2021|22 kwa kilo,Hii ni sawa na ongezeko chanya...
Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati.
Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana.
Lakini pia niwapongeze...
Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania.
Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu.
Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wananchi wa Tanzania amemtumia pongezi Rais mteule wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema na kumuahidi ushirikiano.
Naye Rais MTEULE Mheshimiwa Hakainde amezipokea pongezi hizo na kumshikuru Rais Samia huku...
Salamu zitakuwa zimewafikia kuwa mheshimiwa Mbowe hayuko peke yake na hatakuwa peke yake.
Funzo kubwa kwa makamanda limetoka kwake wakili msomi Peter Kibatala:
"Kuwe na mkakati rasmi wa mapambano ambapo tutakuwa sote na wahanga wetu katika raha na katika shida."
Kama ilivyo kwa kamanda Mbowe...
Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake.
Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa.
Maombi yanaendelea kanisani kesho.
Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂
Mtu...
Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu ikiwezekana watu kuchanjwa.
Wabunge wa CHADEMA walipovaa mask bungeni walionekana wasaliti...
Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema.
Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT
Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu ni kujiingiza kwenye anguko la kitaifa kwani hakuna mtu anapenda kulipa kodi hivyo kama hakuna nguvu...
Jumatano ijayo tarehe 14 katika Siku ya Kumbukizi ya mwaka Mmoja wa Kifo cha Rais wangu bora wa Pili Tanzania Benjamin Mkapa kutakuwa na Kongamano la Kujadili yale mema yote ambayo Hayati Mkapa ameifanyia Tanzania yetu hii.
Kongamano hilo litafanyika katika Ukumbi wa Mlimani City na Mgeni rasmi...
Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu.
Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa kurekebisha pale ambao uliona hapakwenda sawa.
Tatu nakupongeza kwa ku-deal na watu ambao...
Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania
Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara
Chanzo: ITV habari
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu.
Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili.
Makala...
Habari, naomba kutoa waraka huu mfupi iwe sehem ya kunena yalio mazur kuhusu NSSF Tawi la Kinondoni.
Ni kweli NSSF ni suala ambalo limekua pasua kichwa mno, hususan kwa watumishi waliopewa dhamana ya kuhudumu wa wanachama, mim nilikua sehem ya muhanga, sintotaja ni kampun gan nilihitim mkataba...
Chama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini (TWCC) kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake tangu alipopata madaraka March, 2021 baada ya kufariki dunia mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.