Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM.
Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
Hakuna waziri anayefanya kazi kwa bidii kama Ummy Mwalimu, anastahili pongezi zote anajitahidi sana.
No doubt for this.
She's working hard.
Maamuzi aliyochukua kuhusu uhamisho wawatumishi ni sahihi kabisa. No doubt for this.
Uzi umeishia hapa. Ova
Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri.
Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani...
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole.
Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako
Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri?
Ni...
Tanzania tunapaswa kushukuru kwa kumpata IGP. Simon Sirro kwa kuweka kila kitu under control kuanzia zile siku za sintofahamu mpaka sasa tunafungua mwaka 2022 anastahili pongezi na kuombewa maisha marefu na kila Mtanzania mwenye nia njema hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama nchini.
Usiku...
Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
Sijui kama ni waandishi wetu au ndio mpango ila Maendeleo hayachagui jinsia
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
KAZI IENDELEE
Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua...
Wanabodi,
Hili ni bandiko lililotokana na makala yangu hii, kwenye Safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa", kwenye gazeti la Nipashe kila siku za Jumapili. Kila nipatapo muda, huja na hizi makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huja kwa mtindo wa swali, halafu jibu utatoa wewe msomaji...
Kwenye hili la boda boda naomba tutoe pongezi nyingi kwa aliyeleta hili wazo zitumike kama usafiri wa abiria.
Ameacha alama kubwa kwakweli maana kila kona now kuna kijana ana pikipiki yaaani zimeajiri mamilioni kwa mamilioni ya watu kuna watu wanafaa kuchongewa sanamu aiseepo
pongezi nyingi...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo.
Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na...
Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk.
1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka...
Nachingwea; Lindi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majalilwa Majaliwa katika mwendelezo wa Ziara yake Mkoa wa Lindi ameweka jiwe la Msingi katika shule maalum ya sekondari ya wavulana Nachingwea inayojengwa katika kijiji cha Chiumbati nje kidogo ya mji wa Nachingwea...
Kwa miaka yote nilikuwa nikitaka kwenda Tanzania kwa KLM ilikuwa lazima ipitie KIA kushusha wageni lakini kwa mara ya kwanza ndege yangu itatua Zanzibar halafu inaenda Dar.
KLM siku moja wanaenda Zanzibar na siku inayofuata wanaenda KIA. Lakini hoteli za Zanzibar nimeona zimepanda bei sana...
Kila kitu kina mpangilio katika maisha.. Huwezi kufanya kinyume na mpangilio na ukijaribu kufanya hivyo matokeo yake ni zogo na kupaganyika.
Kwenye hili la machinga lilikosa mpangilio..Na likafugwa na wanasiasa kwa maslahi binafsi ya kisiasa.. Sasa kama tumeamua kurudi kwenye mpangilio lawama...
Habari zenu wadau!
Alfajiri ya leo Jumamosi mnamo saa 10:30 hivi nimeota kama nimeletewa mifuko mitatu mizuri sana. Katika mifuko yote kuna nguo. Naomba nielezee!
1. Mfuko huu una nguo nzuri sana imeandikwa mshindi namba moja wa stories of change, ila pale sikumbuki jina lake. Ukishika huu...
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa jeshi la polisi Mkoa maalumu wa Kinondoni chini ya RPC Kingai kwa kuwa na utendaji wa haraka wa kufika kwenye matukio mara wanapopokea taarifa za uhalifu hata ikiwa usiku wa manane.
Mimi ni shuhuda maana majambazi waliingia mtaani na mara baada ya Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.