pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    2025 nimekataza mtu yeyote nyumbani kwangu kwenda kupiga kura, Ni kupoteza muda tu, Pongezi kwenu CCM mmejua kutukatisha matumaini ya kupiga kura.

    Yes, 2025 mimi mkuu wa kaya, mke wangu na house girl ambao ndio watu wazima kwenye nyumba hii nimepiga marufuku kwenda kupiga kura, kama ataongezeka mwengine awe tayari kuyakubali haya masharti. Kipindi pekee ambacho nilipiga kura walau kwa matumaini hasa katika nafasi za wabunge na madiwani ni...
  2. N

    Pongezi kwa Serikali kwa kuanzia kutekeleza Ugawaji wa Vishikwambi kwa Walimu

    Mapema wiki hii inayoishia, nimefurahi sana kuona Serikali ikigawa bure kwa walimu wa VETA vishikwambi ( tablette) vilivyokuwa vinatumika ktika zoezi la Sensa la mwezi Agasti. Baada ya zoezi la Sensa kutamatika, Serikali hii tukufu ya Mama Samia iliahidi kugawa vishikwambi vilivyokuwa...
  3. J

    PONGEZI: Mary Pius Chatanda Mwenyekiti Mpya UWT, Rais Samia aitaka UWT kuwaunganisha na kuwakwamua wanawake nchini

    RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA 10 UWT JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) akifungua Mkutano Mkuu...
  4. Logikos

    Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  5. NetMaster

    Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!! Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
  6. NetMaster

    Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  7. BAKIIF Islamic

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  8. T

    Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

    Igweeee igweeee!! Napenda kwanza kukiri kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Simba Sc, timu ambayo ni mahasimu wakubwa wa klabu ya Yanga hapa nchini Tanzania. Bila ya kupoteza muda, napenda niwamwagie salamu za pongezi timu ya Yanga SC, viongozi na mashabiki wake kwa ujumla kwa kufanikiwa...
  9. M

    Pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB plc tawi la Tanzania

    Nikiwa mdau wa benki hii natoa pongezi za dhati kwa Uongozi wa benki Dr. Edwin Mhede - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi na Prof. Ruth Zaipuna (Mrs)- Mkurugenzi Mtendaji kwa kitendo cha kuyapokea maoni na ushauri na hatimaye kufanikisha kumwadabisha Lilian Komwihangiro (Advocate) aliyekuwa...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Polisi Iringa yawaua majambazi saba

    Good work 👇
  11. Kikotii

    Waziri Mhagama Pongezi kwa Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma. Nikiwa kama mdau wa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
  13. L

    Hongera na pongezi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuifanya Tanzania kuwa Salama muda wote

    Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani bila hofu Wala mashaka Msingi wa maendeleo katika nchi yoyote Ile Ni uwepo wa amani na utulivu...
  14. Z

    Pongezi kwa Mamlaka kwa kupambana na Panya Road

    Pongezi kubwa kwa Jeshi letu la Polisi kwa kazi nzuri wanayo endelea kuifanya kuhakikisha hakuna cha panya rodi wala panya buku. Pongezi pia kwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Makala kwa kuweka mikakati madhubuti ya kutokomeza uhalifu katika Jiji la DSM. Ushauri; 1. Zoezi la kupambana na uhalifu haswa...
  15. TataMadiba

    Pongezi 12 kwa Rais Samia

    Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa uchache hizi ni pongezi kwa...
  16. JF Member

    Kwa nini Tweeter ya Mama ina habari ya vifo na pongezi tu?

    Wenzetu huko nje unakuta tweeter ya Rais imesheheni taarifa muhimu kwa ajili ya wananchi, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k. Tunaweza kubadilika na sisi?!
  17. L

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  18. F

    Pongezi

    Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi. Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea baraza lote la mawaziri kujiuzulu ili kuonesha kuna uwajibikaji. Anayejua jina la huyu CAG anijulishe...
  19. T

    Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  20. N

    Pongezi kwa Rais Samia

    Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania. kwa kufungua fursa zaidi...
Back
Top Bottom