pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2025-2050 na Katiba mpya kama njia za kujenga upya( Rebuilding). Hakika Rais Samia anastahili pongezi kubwa

    Serikali ikiwa ipo katika mchakato wa matayarisho ya dira mpya ya Taifa ya maendeleo ya miaka 25 ijayo kuanzia 2025-2050 na hapo hapo kukiwa na mkakati wa kuendeleza mchakato wa katiba mpya, kwa hakika nauona mwanzo mpya chini ya Rais Samia. Rais Samia akiwa anaongozwa na falsafa za 4R zikiwa...
  2. Mganguzi

    Mikutano ya kumpongeza Rais imegeuka kero! Sio lazima kila mkoa uandae mkutano wa pongezi, huo ni upigaji

    Inashangaza sana nchi za kiafrika Bado tunaishi Karne ya kwanza! Rais kutimiza mwaka Mmoja madarakani sio hoja ya kufuja pesa za walipa Kodi kwa kuandaa Mikutano Kila mkoa na kukodi wasanii kwa mamilioni ya pesa ili kupongeza kutimiza miaka miwili. Ziko njia nyingi zinazoweza kutumika...
  3. TRA Tanzania

    Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  4. D

    Hizi pongezi Kwa Rais Samia zina nini nyuma yake kama sio kumbeza na kutweza utu wake?

    Imezoeleka Rais Mpya aliyeko madarakani kuadhimisha siku 100 Ikulu, utaratibu ambao nchi nyingi zimeiga kutoka Marekani. Baada ya hapo Rais anaachwa kuchapa kazi. Hata Joe Biden baada ya zile siku 100 hatukusikia tena akipongezwa Kwa mwaka mmoja au miwili au vinginevyo. Siku 100 imewekwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Waziri Jenista Mhagama Apongeza Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe...
  6. benzemah

    Kamati ya Amani yampongeza Rais Samia

    Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano Tanzania imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka miwili madarakani na kusema katika kipindi hicho kwa kiasi kikubwa ameifungua Tanzania katika mambo mbalimbali ikiemo uhusiano wa kimataifa, Demokrasia na ukuaji wa Uchumi kupitia ujenzi wa...
  7. K

    Pongezi kwa Rais Samia, Demokrasia ni msingi wa maendeleo

    Kuna watu bado hawaelewi. Rais Samia anataka kuweka demokrasia sio kwa mapenzi ya Chadema au CCM bali ni ukweli kwamba demokrasia imara inasaidia kwenye maendeleo ya nchi Vyama vya siasa kupewa nguvu sawa ni mihimu ili kuwe na ushindani wa hoja kwa maendeleo ya nchi. Hii ndiyo kazi kubwa ya...
  8. M

    Freeman Mbowe anastahili kujengewa mnara

    Watanzania kwa umoja wetu inapaswa tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uhai tukaweza kushuhudia uongozi imara, uliotukuka na mpenda nchi, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe ambaye amepita katika tanuru la mateso hata hivyo hivi sasa yupo mstari wa mbele kusimamia...
  9. R

    Profesa Wajackoya: Raila Odinga alikuwa na CHADEMA akalega lega amerudi tena

    Nchi na mataifa mbalimbali sasa wanaendeleza hamasa ya kuungana na chama chenye malengo ya kuongoza nchi kwa misingi ya amani, umoja, na upendo, na maendeleo pia na kuimarisha diplomasia. Hii ni kutokana na itikadi na misingi mizuri ya kuanzishwa kwake. Prof Wajackoya, nguli wa sheria na...
  10. L

    Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  11. USSR

    Pongezi za Halima Mdee, Zitto na ACT Wazalendo, namuona Mdee aliibukia ACT 2025

    Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe. Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania maana huyu atahama na Bulaya,matiko na wengine wengi, CHADEMA wanalo...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Rais Samia kwa hili la kuruhusu Mashirika ya Umma kuajiri nakupa pongezi sana

    “Kuna mashirika ambayo wenyewe wangehitaji ajira za harakaharaka lakini unaambiwa subiri Tume ya Utumishi ikae, subiri sijui utumishi ifanyeje mwaka mzima taasisi kwa mfano TRA inataka watu wakakusanye mapato mwaka mzima watu hawajapatikana, vivyo hivyo TANESCO, REA wanataka watu utumishi paka...
  13. Nelson Jacob Kagame

    CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  14. msuyaeric

    Tundu Lissu Apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai'

    Leo Katika Mahojiano ya Tundu Lissu na mwandishi wa Jambo Tv kiukweli nimefurahishwa Sana na majibu Tundu Lissu hii ni ishara Kabisa Tume ya Maliziano ya Kisiasa imefanya kazi yake. "IGP na Mapolisi wetu ni wazoefu katika Kuchambua na kupata taarifa hivyo kuundwa kwa Tume hiyo naamini tutapata...
  15. Heart Wood.

    BRELA ni Taasisi ya kuigwa nchini kwa huduma bora, kwakweli wanastahili pongezi!

    Wakuu moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha. Mimi siyo Chawa wala mtumishi wa BRELA. Mimi ni mdau tu mnufaika wa huduma za BRELA. Kwa wasiojua, BRELA ni Taasisi inayoshughulika na masuala ya usajili wa biashara /kampuni na kutoa leseni za biashara/kampuni nchini. Mie nimekuwa mnufaika wa...
  16. MamaSamia2025

    Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  17. Lycaon pictus

    Kujielewa 101: Usitafute pongezi wala kusifiwa, ukisifiwa au kupongezwa usishukuru

    Moja ya mambo yaliyowaingiza wanadamu wengi matatizoni ni kutafuta pongezi na sifa. Moja ya mambo yaliyopelekea watu kutapeliwa, kudhuriwa, kupta hasara na kuwa-taken advantage of ni kusifiwa na kupongezwa. Asilimia kubwa ya pongezi na sifa unazopewa ni za kinafiki, ni za watu wanaotaka kitu...
  18. Benjamin10

    Pongezi kwa Sekretatieti ya Ajira kwa kuyachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi

    Habarini za usiku wadau, Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge. Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili. Kwani nimekuta utofauti kidogo. Majina...
  19. K

    Exported manufactured goods inject 3.2trilion Tzs in 2022

    The amount was more than double of the amount earned from exports of gold, or combined exports earnings from traditional exports, horticultural products and other minerals. This shows an ongoing expansion of industrialization drive, which the government embarked on transforming the economy to...
  20. Nyamodha

    Pongezi kwa CCM

    CCM imemaliza Mkutano wake Mkuu wa 10 Kwa uchaguzi wa Viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa. Naipongeza CCM Kwa kuwa Chama bora Na chenye demokrasia ndani ya Chama sio tu katika Afrika, Bali pia hata ulimwenguni Ni Chama kinachozidi kujijengea uimara, Na Kwa namna kinavyopendeka (sio tu Kwa...
Back
Top Bottom