Hussein Bashe hata kabla ya kuingia na kuteuliwa katika wizara hii alikuwa akisimama bungeni kuchangia katika wizara hii. Kila mtanzania alitamani na kuomba apewe uwaziri wa kilimo ili atekeleze kwa matendo yale azungumzayo. Hatimaye akaaminiwa na kupewa wizara. Kiukweli tangu amepewa tumeona...
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa ya Leo
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as...
Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
Dah ama kweli waliosema maskini akipata matako hulia mbwata hawakukosea yaani kuna vitu kumbe simba tulikuwa tunachukulia for granted sana , pongezi mbalimbali, ranks za levels za juu afrika, kwa miaka 4 kuna majuha yameteseka yakageuka kamati za mapokezi na kutengeneza majungu kwa teams za kuja...
Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania.
Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa magoli 5-1 tena ugenini dhidi ya timu yenye uzoefu mkubwa ya hadhi ya Cameroon,
Mmefuta aibu ya...
Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
Wanaukumbi.
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima
Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni Nini hasa?
Kumsifia Rais au kunisaidia Rais?
Ukitazama Hotuba aliyotoa CDR MTAKA, utagundua utofauti...
Tanzania yapo matatizo mengi ambayo yanahitaji uhamasishaji na vichochezi ili wananchi wachangamkie fursa au waweze kutoka katika hali husika.
TBC licha ya kuwa wanatumia fedha za walipa kodi, hawatengezi vipindi vyenye muelekeo wa kuhamasisha vijana au kutatua kero zilizopo.
Ukifuatilia...
Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana!
Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
Naomba niipongeze seriakali ya Tanzania kwa kujitolea kupamabana na kuibuka kwa Cult mbali mbali.
1. Kwanza, kwa sasa mitume na manabii wana chombo Chao ambacho kitawasimamia na kudhibiti utapeli kwa waumini. Kwa sasa chombo hicho kina Rais wake na Mlezi mkuu.
2.Pili, serikali imeanza...
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.
Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
Nyendo
The Sheriff
Replica
Suley2019
Erythrocyte
Katika kesi muhimu inayoendelea ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe na wenzake. Wenzetu Hawa wamekuwa mstari wa mbele kuujulisha UMMA kinachoendelea.
Watanzania wengi na viongozi akiwemo Mheshimiwa...
Jana nilitoa pongezi Kwa Kitenge na Osca nikiwa nimejikita kutetea uhai wa wanadamu wenzetu pamoja na HAKI ya elimu.
Mara nyingi ninapotoa hoja napenda kujieleimisha zaidi na pale ninapobaini utofauti napenda kukiri makosa na kuepusha kuipotosha jamii. Kwa issue ya Ngorongoro Naomba kuondoa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19.
---
Rais Samia Suluhu Hassan...
Salaam
Kwanza nikiri wazi kwamba mimi sio mwanajeshi kuweza kuufahamu utendaji wa ndani kabisa wa CDF wetu wa JMT lakini kwa jicho la nje ningependa kutoa pongezi nyingi kwake kwa utendaji na uzalendo uliotukuka.
Mbali na utendaji wake ndani ya jeshi, Kiongozi huyu ameonekana sehemu mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.