pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Pongezi kwa Mamlaka za Mbeya kwa kurekebisha kero hii

    Baada ya malalamiko juu ya stand ya mabus na daladala ya nane nane mbeya sasa mamlaka zimeanza utekelezaji WA changamoto ya ubovu wa miundombinu ya stand. Wito wangu kwa mammalaka husiku zisisubiri wananchi walalamike wakati Hali halisi inaonekana
  2. P

    Pongezi za dhati kwa bwana Donald Trump kwa kuichangamsha dunia

    Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine. Sera za mabeberu za kuzifanya nchi zenye viumbe wasiojielewa kuwa tegemezi wa misaada, zimeingeza mmomonyoko wa maadali katika jamii...
  3. Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  4. Z

    Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
  5. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  6. KERO Ukiwatoa TANESCO, bado Idara ya Maji haieleweki kabisa linapokuja suala la bili zao

    Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi kwa TANESCO kwa mfumo bora wa LUKU. Lakini kwa upande wa Idara ya Maji na bili zenu, bado...
  7. Vyovyote anavyokuwa mwanamke akishaolewa lawama na pongezi ni kwa mumewe huu ndio ukweli

    Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo akiwa na tabia njema wewe ndiye wa kupongezwa. Wanaume wote waliooa kamwe usije ukaandika bandiko...
  8. Z

    Pongezi kwa Tundu kuamua kugombea uenyekiti wa chama cha cdm

    Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia,. Tusisahau yaliyo mkuta Chacha wangwe (r.i.p), Zito kabwe n.k. Mwenye kiti hayuko tayari kung'atuka...
  9. LGE2024 Jaji warioba ametoa pongezi, asema haki na uhuru umefanikisha uchaguzi

    Salaaam wakuu, tafadhali naomba kujua uhalisia wa hii taarifa iliyowekwa kwenye gazeti hili la Mwananchi khusu Mzee warioba kuwa ametoa pongezi, haki na uhuru umefanikisha uchaguzi.
  10. LGE2024 Pongezi kwa CCM kwa kujipanga

    Hakika CCM ni chama zoefu katika siasa.Huu ni mwaka mwingine CCM pamoja na kupitia vipindi vigumu imeweza kijitetea vyema na kwa sauti kubwa. CCM kama ilivyo vyama vingi vikongwe imeendelea kusimama kama chama imara kinachoheshimu upinzani ndani ya nchi na ukinzani kutoka mataifa dhalimu! Hata...
  11. DOKEZO Ni kweli Hospitali ya Taifa Muhimbili kulala kwa siku ni gharama zake ni tsh 50,000?

    Habari zenu wakuu. Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze...
  12. M

    Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

    Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi. Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
  13. Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  14. M

    CHADEMA, acheni kulalamika kila muda, chukueni hatua

    Viongozi na wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wahanga wakubwa sana kwa manyanyaso na kila aina ya dhuluma. Mara tu wanapofanyiwa hayo wamekuwa wakijitokeza kwenye Vyombo vya habari na kulalamikia vitendo hivyo. Mimi nafikiri kwa sasa tutoke kwenye kulalamika na twende kwenye kuchukua hatua kali...
  15. Waziri Mkuu Majaliwa awasilisha pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson kwa utendaji wake katika Bunge la IPU

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, imempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, kwa Uongozi wake mahiri na ujasiri aliouonesha katika tukio lililotokea...
  16. T

    Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

    Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
  17. Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  18. M

    Pongezi kwa RC Makonda kuboresha makao makuu ya polisi Arusha

    Maeneo ni mengi ambayo binafsi naona uwepo wa Mh Makonda umefanya uboreshwe. Mojawapo ni kituo cha polisi central pamoja na makao makuu ya mkoa (ofisi ya RPC) Hakika yanaendana na hadhi ya Arusha. Hongera sana Makonda. Endelea kuangazia maeneo yote na kuhimiza utendaji wa kuzingatia huduma...
  19. Je, nastahili pongezi kwa haya niliyofanya?

    Salaam Wakuu. Katika Hii dunia kila mtu anajambo/Mambo/kazi anayofurahia kufanya.Binafdi ninamambo kadhaa ila hiki nilichokifanya nimejikuta mimi mwenyewe najipiga kifua nasema Hapa nimefanya jambo kubwa linalostahili pongezi Lakini, Je! Nastahili pongezi kwa hiki nilichokifanya? Twende...
  20. AZAM: Pongezi Kwa kutuletea mechi Mubashara Taifa Stars vs Kongo,Wengine waige!

    Jana 10-10-2024 Majira saa tatu usiku hapa DRC Kinshasa, na huko Tanganyika majira ya sa moja usiku sawa na Zanzibar saa moja usiku kulikuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanganyika Stars na DRC. Inonga, Mayele na Kalulu walifana sana na walionyesha ni namna gani wachezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…