Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...