Wakuu habari za asubuhi, Leo Kuna Mechi za maamuzi kwa team nyingi eidha kwenda Caf champions league au Caf confederation, na wengine eidha kusalia kwenye league au kucheza play off au kushuka daraja.
Je JKT ataweza ku-maintain asicheze play off?
Je Mashujaa naye atamaintain?
Je Kagera...
Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League.
Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika.
Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo...
Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips
any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know.
this could be done in less than a week. & be launched before next season. for trials
#note : kama...
UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY?
1. Manchester City
Pointi 88
GD 60
Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023
2. Arsenal
Pointi 86
GD 61
Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
VS
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.
Nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
Simba SC
UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia kwa Freddy Michael.
Alikuwa ameshamtoka hadi Kipa.
Mpira ukaenda nje.
7'
Game on.
Mashambulizi...
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!
note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo...
#nguvumoja#
VIKOSI VINAVYOANZA.
AZAM FC
SIMBA SC.
Updates...
Timu zote mbili zimeshaingia Benjamin Mkapa.
Wanajiandaa kuanza mazoezi ya kupasha misuli.
Updates....
04'
Azam wanajaribu kufanya shambulizi, halifanikiwi.
20'
Mpira unaendelea na timu zinashambuliana kwa kasi sana.
Azam 0-0...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC
📆 08.05.2024
🏟 Azam complex
🕖01:00 usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Kagera Sugar
mpira umeanza
dakika ya 5
0-0
dakika ya 10
0-0
dakika 13
yanga sc wanafanya shambulizi aziz k ananaswa kwenye mtego wa offside
dakika...
All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'
Game on
0-0
DK 10'
Mpira unaendelea
0-0
DK 19'
Goooooooooooal
Sadio Kanoute anatia goli wavuni...
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa.
---
Kikosi cha Simba kilichoanza...
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league
Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu.
Tukutane hapa kwa update.
KIKOSI CHA SIMBA
KIKOSI CHA IHEFU
2nd Leg Match
CAF CHAMPION LEAGUE
QUARTER FINAL.
Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc
Time: 9:00Pm
Stadium: Loftus Versfeld Stadium
More Updates following...
Kikosi Cha Yanga Kinachoanza
Kazini kwetu kuna Kazi.
Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza.
Mpira unaendelea kwa kasi .
Timu...
africa
bao
caf
caf champions league
dakika
final
goal
goli
halali
kunyimwa
mamelodi sundows
mechi
nbc
nbc premierleaguepremierpremierleague
sare
ushindi
utabiri
yanga
yanga sc
Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ 2023/24 zinazidi kushika kasi, Manchester City itakipiga dhidi ya Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad, leo Machi 31, 2024.
Msimamo wa Timu Tatu za juu, Arsenal pointi 64, Liverpool (64) na Man City (63), hivyo atakayeshinda leo anaweza...
Bleaching Premier League financial rules per multiple reports.
---
Nottingham Forest have received a four-point deduction for breaching the Premier League’s profitability and sustainability rules, dropping them into the relegation zone, one point from the last safe spot.
An announcement from...
Patashika ya ligi kuu kuendelea leo, kwa kukutanisha wekundu wa Msimbazi dhidi ya wazee wa Mapigo na Mwendo baada ya futari. Muda ni saa mbili na robo usiku, Azam complex
Kikosi
Game ishaanza dakika ya 18 bado bila bila
Yellow card Michael Masinda kamfanyia Saido faulo, game inaendelea...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC 🆚 Geita Gold FC
📆 14.03.2024
🏟 Azam Complex
🕖 02:15 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Geita Gold FC
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Aziz k anachezewa madhambi nje ya 18
Dakika ya 7
Yanga SC wanapata kona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.