Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...