Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

Abdull hameed

Senior Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
126
Reaction score
230
Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
 
HAbari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Vipi uzito wako.. Umri je? Na je kwenye ukoo wenu mna historian ya BP?
Je kuna changamoto unapitia? Kazini, nyumbani, mahusiano au kipato?
 
HAbari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Pole sana ndugu. Kwa uzoefu uliopo, dawa za hospitali (dawa za kizungu) zinashughulika zaidi na dalili za ugonjwa wa pressure. Hazishughulikii chanzo cha ugonjwa. Na ukishaanza kutumia dawa zao unakuwa mtumwa wa hizo dawa. Yaani huponi, zinatoa nafuu ya muda mfupi tu.
Hivyo, nakushauri utumie tiba mbadala. Ukipata iliyo sahihi na kutumia dawa kwa kuzingatia masharti- hasa ya ulaji wa vyakula-unapona kabisa.
 
Kama vipi bado sijakuelewa
Pressure kupanda lazima kuna kisababishi mfano uzito mkubwa,life style,ujauzito,stress,magonjwa mf.kisukari e.t.c
Sasa ungejifanyia utafiti ujue nini kinasababisha pressure yako inapanda!,
Tutakwambia utumie dawa za hospital Kumbe ungeweza kupona kwa kubadili life style Tu!
 
Kama upo interested na tiba mbadala nijulishe nikutambulishe kwa Dr Omary. Ni mtaalamu aliyebobea kwenye tiba mbadala na lishe. Mimi nimesaidika sana kwa utaalamu wake.
 
Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Pole lakini 140/90 sio mbaya sana na madaktari hawakupi dawa kwa hizo number watakuambia change lifestyle kama vyakula, kulala na mazoezi, hizi ndoa lakini 😂😂😂
 
Pressure kupanda lazima kuna kisababishi mfano uzito mkubwa,life style,ujauzito,stress,magonjwa mf.kisukari e.t.c
Sasa ungejifanyia utafiti ujue nini kinasababisha pressure yako inapanda!,
Tutakwambia utumie dawa za hospital Kumbe ungeweza kupona kwa kubadili life style Tu!
Sasa ayo magonjwa nikienda hosptali ndio sipati lolote zaidi ya kuambiwa presha ipo juu
 
Back
Top Bottom