shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,832
- 13,664
Daktari WA kwanza WA mwili wako ni wewe,jichunguze je Una stress? na vinginevyoSasa ayo magonjwa nikienda hosptali ndio sipati lolote zaidi ya kuambiwa presha ipo juu
Daktari WA kwanza WA mwili wako ni wewe,jichunguze je Una stress? na vinginevyoSasa ayo magonjwa nikienda hosptali ndio sipati lolote zaidi ya kuambiwa presha ipo juu
OkDaktari WA kwanza WA mwili wako ni wewe,jichunguze je Una stress? na vinginevyo
OK check na uzito pia na lishe yako.. Naweza kukushauri pia wakati wa kulala ogea maji uliyoweka chumvi kidogoMkuu ndoa yangu ipo sawa sijui kwa macho ya watu wameipokea vp
Sawa ahsante sanaOK check na uzito pia na lishe yako.. Naweza kukushauri pia wakati wa kulala ogea maji uliyoweka chumvi kidogo
Sawa ahsante nitafanya ivo
Humu kila mtu atakuambia lake. Nenda hospital kacheki ujue tatzo. Pressure inasababishwa na vitu vingi kama, mafuta mwilini, kurithi, kutanuka kwa moyo, pombe iliyokithili, kuongeza chumvi mbichi kwenye chakula n.kHabari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Very informative 👏1. Una miaka mingapi? Uzito wako ukoje? BMI? ➡️➡️➡️ Punguza uzito
2. Punguza chumvi, sukari na mafuta kwenye vyakula vyako. Kula sana mboga mboga. Fanya intermittent fasting. Pambana kufa na kupona upunguze angalau kilo 5 ndani ya mwezi huu wa pili.
3. Punguza stress na msongo wa mawazo. Kama mpenzi anakuzingua achana naye maana atakuua. Fanya meditation. Sali. Onana na mwanasaikolojia akusaidie kama una mizigo mizito umebeba moyoni. Kama ni hekaheka za kwenye ndoa jaribu kutafuta suluhisho haraka maana hiyo ndoa itakuua uiachie dunia mjane jamaa waje kumfaudu wakati wewe unang'ong'wa na funza kaburini 😭
5. Kapime cholesterol haraka.
6. Kila siku asubuhi na jioni tafuna au meza punje 3-5 za garlic. Ukitaka kulala tafuna pia kipande cha biringanya mbichi. Unaweza kukichovya kidogo kwenye asali ili kupata ladha (chovya kidogo sana!). Hushusha cholesterol mbaya haraka mno!
7. Muone daktari. Kama akikuruhusu anza mazoezi mepesi. Brisk walking. Jogging...angalau kwa nusu saa hivi kwa siku 4-5 kwa wiki. Halafu utaongezea baadaye mazoezi mengine mazito kwa kadri atakavyokushauri.
8. Kama unavuta sigara au kunusa ugoro, kunywa pombe, kahawa, energy drinks, soda...ACHA MARA MOJA! Komaa na maji safi na salama tu kwa wingi!
Hivi ni vita na vitakutaka ubadilishe kabisa mfumo wa maisha yako. Pendelea zaidi kutembea badala ya kutumia usafiri hasa kwa visafari vifupi vifupi. Kutana na marafiki ili kubadilisha mawazo, kucheka na kufurahi. Relax. Be positive and optimistic.
Ukifanya yote haya ndani ya mwezi kama hakuna mabadiliko basi anza tu kutumia dawa. Presha kwa jina jingine inajulikana kama "silent killer". Bila shaka naamini unajua ni kwa nini (kimya kimya tu inaua figo na viungo vingine, inasababisha shambulio la ghafla la moyo, massive stroke mtu unakuwa kwenye vegetative state...) Usifanye mchezo. Pambana hasa!
I am rooting for you na ukifanya yote haya baada ya mwezi njoo hapa ulete mrejesho. Allah na Akakusaidie 🙏🏿
Mkuu ni Dm ila uwe karibu na msukuma.Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Ni presha tu au kuna dalili nyingine nyingine? Mkojo ukikojoa upoje? Usiku ukilala unatoka jasho sana?Umri miaka 32 ila nimeowa baada ya miezi miwili tu ya ndoa ndio nimeanza kuumwa hali hii saivi huu ni mwaka mzima sijawa vizuri
Acheki na full blood picture kujua kama pia ana Uric AcidChief pole sana,tafuta vitamin D3,K2 na Magnesium glycinate. Vitamini D3 tumia IUD 5000 kila siku.
Kama una uwezo fanya high protein,high fat diet. Kula nyama 🐄,mayai na samaki pekee kwa siku 30. Usitumie mbogamboga (inflamation) maana zinapigwa sana madawa shambani. Usitumie wanga (sukari).
High blood pressure inasababishwa na insulin resistance( sukari kwenye damu full time) na body inflamation kutokana na vyakula tunavyokula pamoja na chemicals mbalimbali kila siku.
Protein/fat diet ni safi,mwili wako utafanya detox na kurejea kwenye hali ya kawaida. Sio hivyo tu,hii diet itaenda kutibu shida zote (chronic) za kiafya ambazo unazo.
Kama una shida ya mgongo, magoti,shingo, insomnia nk zote zitaisha. Kila la heri.
Umempa ushauri mzuri.1. Una miaka mingapi? Uzito wako ukoje? BMI? ➡️➡️➡️ Punguza uzito
2. Punguza chumvi, sukari na mafuta kwenye vyakula vyako. Kula sana mboga mboga. Fanya intermittent fasting. Pambana kufa na kupona upunguze angalau kilo 5 ndani ya mwezi huu wa pili.
3. Punguza stress na msongo wa mawazo. Kama mpenzi anakuzingua achana naye maana atakuua. Fanya meditation. Sali. Onana na mwanasaikolojia akusaidie kama una mizigo mizito umebeba moyoni. Kama ni hekaheka za kwenye ndoa jaribu kutafuta suluhisho haraka maana hiyo ndoa itakuua uiachie dunia mjane jamaa waje kumfaudu wakati wewe unang'ong'wa na funza kaburini 😭
5. Kapime cholesterol na sukari haraka. Presha na kisukari ni marafiki wakubwa!
6. Kila siku asubuhi na jioni tafuna au meza punje 3-5 za garlic. Ukitaka kulala tafuna pia kipande cha biringanya mbichi. Unaweza kukichovya kidogo kwenye asali ili kupata ladha (chovya kidogo sana!). Hushusha cholesterol mbaya haraka mno!
7. Muone daktari. Kama akikuruhusu anza mazoezi mepesi. Brisk walking. Jogging...angalau kwa nusu saa hivi kwa siku 4-5 kwa wiki. Halafu utaongezea baadaye mazoezi mengine mazito kwa kadri atakavyokushauri.
8. Kama unavuta sigara au kunusa ugoro, kunywa pombe, kahawa, energy drinks, soda...ACHA MARA MOJA! Komaa na maji safi na salama tu kwa wingi!
9. Hakikisha unapata usingizi wa kutosha (si chini ya masaa 7 kila siku!)
Hivi ni vita na vitakutaka ubadilishe kabisa mfumo wa maisha yako. Pendelea zaidi kutembea badala ya kutumia usafiri hasa kwa visafari vifupi vifupi. Kutana na marafiki ili kubadilisha mawazo, kucheka na kufurahi. Relax. Be positive and optimistic.
Ukifanya yote haya ndani ya mwezi kama hakuna mabadiliko daktari akikushauri uanze kutumia dawa usikatae. Presha kwa jina jingine inajulikana kama "silent killer". Bila shaka naamini unajua ni kwa nini (kimya kimya tu inaua figo na viungo vingine, inasababisha shambulio la ghafla la moyo, massive stroke mtu unakuwa kwenye vegetative state...) Usifanye mchezo. Pambana hasa!
I am rooting for you na ukifanya yote haya baada ya mwezi njoo hapa ulete mrejesho. Allah na Akakusaidie 🙏🏿
uyu tayar presha iko juu mazoezi ni kuharibu mishipa, either inaweza kuburstShukuru hiyo presha ipo hivo.
Hiyo ni dalili kwamba kuna ugonjwa umeingia mwilini.
Fanya full blood picture lazima utajua tatizo.
Pia oga maji baridi na jitahidi kufanya mazoezi yenye high intensity
hio 90 ni over mbaya, ya juu sio issue sana! 140 means yuko mwanzo wa danger zone ila 90 means somewhere kuna mishipa imeziba and haiwezi kupokea msukumo sahihi wa dam unaotoka kwenye moyoPole lakini 140/90 sio mbaya sana na madaktari hawakupi dawa kwa hizo number watakuambia change lifestyle kama vyakula, kulala na mazoezi, hizi ndoa lakini 😂😂😂
pressure na vitunguu tena 🤣 🤣 , huyu yupo hali mbaya sana tatizo lake ni kwenye mishipa zaidiTafuna vitunguu saumu punje 12 kila siku, utaona maajabu
Sawa daktaripressure na vitunguu tena 🤣 🤣 , huyu yupo hali mbaya sana tatizo lake ni kwenye mishipa zaidi
kitaalam alichoandika anamaanisha tayar ana stage 2 hyper tension, however to confirm it anatakiwa afanye angalau vipimo 10 ndan ya wiki mfano akiwa amepumzika , ametoka kutembea vitu kama ivo ila hio tayar ni stage 2Sawa daktari