Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

Anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu

Dawa yake ni ndogo tu mkuu.
MNYANYUNDA kwa kisukuma kwa jina jingine MVUTI kama sikosei
Chuma majani yake mawili na tafuna meza maji yake na tema makapi. Fanya mara kwa mara ujiskiapo bila kipmo.
Epuka kumeza makapi yake, kwani yanakwama kooni yatakuparia.

Au unaweza tengeneza juice yake kwa brenda ukachuja. Grass moja ukawa unainywa polepole siku nzma, .


Hii pia husaidia kama moyo kulipuka, wasiwas na mapgo ya moyo kwenda mbio kama umeshtuliwa.
 
kitaalam alichoandika anamaanisha tayar ana stage 2 hyper tension, however to confirm it anatakiwa afanye angalau vipimo 10 ndan ya wiki mfano akiwa amepumzika , ametoka kutembea vitu kama ivo ila hio tayar ni stage 2
LENGO LAKE ILIKUA AKUOMBE USHAURI WEWE TUU AU KWA WANA JAMIIFORUMS WOTE?
 
Habari zenu kaka zangu na ndugu zangu naomba husika na mada apo juu anaejua dawa ya presha anisaidie nimeambiwa presha yangu ipo juu mwezi wa 1 wote nimejipeleleza inasoma 140/100,164/96,148/93,140/90 iyo nimepima ndani ya mwezi wa kwanza nimekuta ivo inanisumbua sana kama kuna mtu ana dawa anisaidie au km ushauri nianze kutumia dawa za hosptal pia naomba ushauri
Nichek inbox
 
Miaka 32 una presha....!? Pole Sana.
Unaweza kuni PM halafu nitakuelekeza Jambo!
 
Back
Top Bottom