Kuna kitu kimoja kwenye soka la Tanzania! Soka ni Simba na Yanga!
Maamuzi, uendeshaji, uratibu, mipango nk yote inategemea /inahusu siasa za Simba na Yanga. Hii ni hatari kwa mustakabali wa Soka letu!
Chukulia mfano mdogo wa nyota wa Azam hivi sasa, Dube.
Huyu ni Striker hatari, lakini...