private

  1. Cannabis

    Hospitali za private (binafsi) zatishia kutohudumia wagonjwa wanaotumia bima ya afya ya NHIF

    Vituo vya afya vya kibinafsi sasa vinatishia kuacha kuwahudumia wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipinga viwango vipya vya malipo ya huduma mbali mbali vinavyotarajiwa kuanza kutekelezwa Januari 2024. NHIF ilisema mapema mwezi huu kuwa imeboresha viwango hivyo vya malipo...
  2. M

    Serikali iwahurumie waliofanya kazi private. Itoe tamko wapewe stahiki zao

    Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano. Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
  3. K

    Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
  4. sky soldier

    Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  5. Jamii Opportunities

    Senior Private Sector Specialist at World Bank October, 2023

    Position: Senior Private Sector Specialist Job #: req24601 Organization: World Bank Sector: Private Sector Development Grade: GG Term Duration: 4 years 0 months Recruitment Type: Local Recruitment Location: Dar Es Salaam, Tanzania Required Language(s): English Job Duties and Responsibilities...
  6. matunduizi

    Kama shule za Private zikifanikiwa kumfanya kila mtoto wa primari kupata A nini kitatokea?

    Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi. Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za...
  7. brave Mwafrika

    Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando

    #Naombeni kujua gharama ya ada ya chuo Cha bugando kwa kozi ya radiology ngazi ya diploma..?
  8. Naanto Mushi

    Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  9. Mla Bata

    Fahamu kuhusu Private Jets

    Wasalaam, Ulikuwa unafahamu hili? Duniani kote inakadiriwa ni ndege 23,241 pekee zimesajiliwa kama ndege binafsi (private jets) ambazo zinatumiwa na kumilikiwa na watu maarufu pamoja na wafanya biashara wakubwa duniani kote, huku taifa kubwa la Marekani likiwa na asilimia 63 ya sajili ya...
  10. B

    Hivi ni kweli ukisomesha mtoto private kuanzia primary hadi secondary, chuo kikuu hapewi mkopo?

    Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary (English medium) hadi secondary (both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano (UDSM ni kuanzia...
  11. Kingcol

    Dereva Private (Tax Mtandao)

    Habari! Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu. Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
  12. Nuru kids

    Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  13. M

    Ukiongea na wanachama wa CCM faragha (private) hawautaki mkataba, ila wakija public wanauunga mkono

    Hili ni jambo la ajabu sana. Yaani ukiongea na wana CCM tena wale wazito ndani ya chama, wanakwambia huu mkataba ni wa kipuuzi na kuwa sisi kama nchi tumepigwa. Ila wakiwa public kwenye majukwaa wanapongeza mkataba, wanampongeza Samia. Ukiwauliza kwanini, wanakujibu wazi, wanakwambia kuwa hata...
  14. Mayor Quimby

    Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...
  15. Annie X6

    Eti mtoto asipofikisha wastani haendelei. Private school dawa yao jiwe

    Nimewapa mtoto hajui kusoma Wala kuandika .. mmemfundisha mmeshindwa mm nahusika vpi na mtoto hakuwa amesoma popote na ni Miata saba naenda nane Ni hakika walimu wanastahil kupewa mitihani(interview) Shule za private Zina walimu wabovu kupindukia
  16. Boss la DP World

    Wahaya hatuna kawaida ya kupanda Mabasi, wengi tuna Private Cars

    Siku za hivi karibuni nimeona watu wakiiponda stendi ya mabasi ya Bukoba kuwa ni stendi duni, nakubaliana nao ila nawakumbusha pia kuna kitu hawakijui au wanakijua ila hawataki kusema, sasa leo nitakisema hapa ili kumaliza utata. Iko hivi, sisi wahaya tunapenda kutumia private cars au ndege...
  17. Mnada wa Mhunze

    Kwa anavyogharamiwa private jet kama hivi atawaelewa kweli?!

    Boss wa mhimili akiwa ndani ya private jet na kikundi chake
  18. Surveyor_1

    Kwanini private candidates wengi huwa wanafeli (hawapati matokeo mazuri kama ya school candidates?

    Habari wana JF. Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates. Ama kwa upande wa school candidates wao yale...
  19. Surveyor_1

    Je, inawezekana kufanya mtihani wa Biology A level kama private candidate ili kupata credit ya kusomea medicine?

    Habari wana JF, natumai muwazima. Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi. Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa...
  20. jastertz

    Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

    Habari wana JF! Natamani kufanya kazi kwenye private company au NGOs. Nina BSC. STATISTICS. Nimezitafuta sizipati. I work under minimum supervision.
Back
Top Bottom