prof. muhongo

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who from April 2021 to January 2022 served as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs, appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Tozo hazijawahi kukuza uchumi

    Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni. Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Prof. Muhongo Amejiandikisha Kupiga Kura Tarehe 27.11.2024

    Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024. Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo: (i) Idadi ya wapiga kura...
  3. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kijiji chaamua kujenga Zahanati, Mbunge Prof. Muhongo achangia mifuko 200 ya saruji

    Kata ya Bugoji yenye vijiji vitatu (Bugoji, Kaburabura na Kanderema) inayo zahanati moja tu iliyoko Kijijini Bugoji. Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo alifanya ziara ya kikazi Kijijini Kaburabura kwa malengo makuu matatu, ambayo ni: (i) kupokea kero za wananchi na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo asema kuwa hii habari ya 16% Share kwenye Madini huenda tumeliwa!

    Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga. Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ikikupendeza mteue Prof. Muhongo Wizara ya Madini asaidiane na Dotto, ana mawazo yenye tija

    Mh.Rais ukiona inafaa ,Mteue Prof.Sospeter Muhongo awe hata Naibu Waziri wa Madini Asaidiane na Dotto Biteko ataleta Tija kwenye Wizara ya Madini. Huyu bwana Huwa ana Madini na Ushauri mzuri sana kwenye issues za Madini na kiukweli ni mbobezi wa fani hiyo. Ni mara chache utamkuta prof.Muhongo...
Back
Top Bottom