Prof. Muhongo: Tozo hazijawahi kukuza uchumi

Prof. Muhongo: Tozo hazijawahi kukuza uchumi

Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.

Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.

CCM haina mawazo mapana. Wao wanawaza kula tu, na sio kuzalisha
 
Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.

Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.

Kwenye nchi hii inashangaza kwamba mazafaka mtaalamu wa geology ndiye anajua economics vizuri kuliko mazafakas wanaojiita economists!
 
Mchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!
Kitila yeye kazi kuboa kanisa la jirani yake kila kukicha hapa kwake goba-maghorofani.

Wao wenyewe wameruhusu dini zifanye vitu ki holelaholelaaa tuuu, ila sasa kutwa nzima anagombana huku mtaani.

Hawezi kujua uchumi huyuuu.
 
Exactly, unajua alishagombea ubunge huko alikozaliwa na kuahidi maisha bora kutokana na fursa za uchumi zilizopo kwao.

Haya akakosa sasa ni waziri nenda ukapaone palivyo hata choo cha shimo kina ahueni
Bado hai justify elimu kubeza elimu yake, mamb ya maendeleo nchi yetu tunayajua
 
Back
Top Bottom