che chaunichile
JF-Expert Member
- Jul 4, 2026
- 682
- 1,120
Hapa sasa ndio nimeusikia uprofesa,
Vichwa vya kuelewa wavitolee wapi?,wao ilikuwa kupigia makofi tu kia neno bila hata kuskilizaSahihi,
Amesema kweli ingawa ni katikati ya kusanyiko la wahuni, sijui kama wataelewa
Sasa kama tunayajua nini umuhimu wa hiyo elimu waliyonayo kwa jamii?Bado hai justify elimu kubeza elimu yake, mamb ya maendeleo nchi yetu tunayajua
Kumbe kitila ni profesa?Mchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!
Muonee huruma ataelewa nini sasa yeye mpe kazi ya kuchambana ndo anaweza takwimu na div 0 wapi na wapi mkuu.Sasa Samia kaelewa chochote kweli hapo?
Nchi yako ina mambo gani ya maendeleo embu yataje mawili tu ambayo angalau yanaweza kusemwa haya ni maendeleo.Bado hai justify elimu kubeza elimu yake, mamb ya maendeleo nchi yetu tunayajua
Profesa njoo yule kwao kumejaa matembe na mavumbi kila mahali, 2026 hii watu kwao hata kiswahili tu hawajuiKumbe kitila ni profesa?
Sio mchumi Kitila hataMchumi KITILA mpira kwako sasa toka kwa PROFESA mwenzako!
Akili bado ipo..Mbunge wa Musoma Mjini, Sospeter Muhongo, amesema kuwa tozo hazijawahi kukuza uchumi duniani, akisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.
Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
Akawasikilize Clouds FM na kipindi chao cha michezo kuanzia saa tatu usiku wanaosema kubashiri(betting) ni uchimbaji madini...na hapa watu wana migodi viganjani(simu)....na pale mtoza ushuru anapata mapato kweli.kwwli kama yote anayafikisha panapohusika.Muhongo ameyasema hayo leo bungeni.
Ni akili ndogo tu ndio huamini mtu individual anaweza turn things around ❌ yaani wazir anaweza vp turn things around bila mjumuisho wa system nzima? Yaan unaona sahihi kbs kumlaum kitila individual kwa maendeleo ya nchi?Nchi yako ina mambo gani ya maendeleo embu yataje mawili tu ambayo angalau yanaweza kusemwa haya ni maendeleo.
Kitila elimu yake ya uchumi imesaidia nini taifa kama kwao tu ni mavi jimbo analoongoza ni takataka lina shida mbele nyuma, kushoto, kulia watu ni masikini hadi kinyaa
Wee mwenyewe ndio walewale
Maendeleo ya tawala za kiafrika hayategemei utashi wa wazir na elimu yake ❌ wazir atashaur na kutoa mapendekezo yake na budget yake je ndie muamuz wa mwisho wa wapi tupeleke maendeleo? Mnajua kbs kipind kile rais anasema hawez peleka maendeleo sehem fulan kama mbunge ni wa upinzani na serious maendeleo hayakupelekwa!!Sasa kama tunayajua nini umuhimu wa hiyo elimu waliyonayo kwa jamii?
Akili za kutenga Billion 700+ za El Nino ya jua kali haiwezi kuelewa mambo km haya nilisikia juzi mwingine katoa boko kwaa kusema yeye hajawahi kusema Mvua za El Nino na hakuna kitu kinachoitwa Mvua za El Nino huku yule PM anaepaa angani km popo ambae aliwahi kua Waziri wa Fedha alisikika akisema Mvua za El Nino, naomba ninawe usoakisisitiza kuwa uchumi hukua kupitia uzalishaji wa bidhaa zinazouzwa sokoni.