Ni heri kuishi na punda kuliko pundamilia.
👉Punda si mzuri wa mwonekano lakini ni mtiifu na mchapakazi na mzalishaji sana
Punda anaweza kudumu sehemu moja na kutulia Ata hali ikiwa ngumu hatokukimbia
👉Pundamilia ni mzuri lakini hawezi maisha magumu, Hana utulivu hawezi kaa sehemu moja...