Mgongo ni sehemu yenye hisia iliosahauliwa sana kwenye mapenzi

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Watu wanazungumzia mapaja, sijui kifua n.k ila hawajui mgogo unahisia kali sana, kwa jinsia zote. na unakua na raha ya kukufaya u relax.

we jaribu leo ulale, kisha mwenza wako akushike shike mgongoni uone, au afanye kama anakutumbua chunisi au vipele, kisha utaona relaxatio and stimulation yake. binafis, I do love it a lot.
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.

Ambapo alitoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni.

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital
FB_IMG_16664248584906725.jpg
 
View attachment 3565444
Hahahaha😂
 
Back
Top Bottom