punyeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  2. Internet-Money

    Punyeto ni mlango wa Roho chafu

    Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa. Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya...
  3. Melki Wamatukio

    SI KWELI Punyeto husababisha Kunyauka na Kusinyaa kwa ngozi

    Hivi ni kweli kuwa punyeto iliyokithiri hupelekea tatizo la kukauka na kusinyaa kwa ngozi?
  4. Lighton

    Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  5. JumaKilumbi

    Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  6. Jana Ulirudi Usiku

    Nipo kijijini peke yangu, nimejilipua viwili!

    Hello everyone, nipo kijijini kwa muda. Mke wangu nimemuacha mjini na nina week 1.5 hapa. Sasa ni mgeni na naona ingenichukua muda mrefu kuanzisha mahusiano au kuomba mbususu na kupewa. Wakati nikifikiria hili nimejilipua bao 2 chap kwa punyeto. Nilijaribu kuruka kichura, jogging n.k, ila wapi...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

    Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja. Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
  8. Kiranja Mkuu

    Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

    Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge. Basi nikaomba kuungwa, nikawa nashinda huko. Katika peruzi zangu nikakutana na uzi unafundisha namna ya kupiga puli kwa njia...
  9. Jana Ulirudi Usiku

    Siku ya 3 leo sijapiga punyeto. Alhamdullilah

    Natimiza 0.10 months sjapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya kukaushwa juani yaliyopikwa kwa karanga, china iliyochemshwa chuku chuku kidogo sana. Ugali kidogo...
  10. MSAGA SUMU

    Wanaanga wapigwa marufuku kupiga punyeto anga za juu

    Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu. Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya binadamu na 👽 alien.
  11. Heci

    Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

    Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku. Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
  12. Boss la DP World

    Njooni niwasimulie Jinsi Nilivyoacha Punyeto

    Mambo vipi wakuu? Kwa miaka 17 nimekuwa mdau sana wa CHAPUTA. Nilivyopata kazi mwaka 2012 nikajua ntaacha maana nilikuwa na uwezo angalau wakuhonga demu ninayemtaka na kumpata ila haikusaidia. Badae nikaoa ila bado nikawa naendelea, nimejaaliwa watoto wawili wameanza shule ila bado nikawa...
  13. GENTAMYCINE

    Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
  14. Foxhound

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
  15. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Habari wakuu, Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake. Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu...
  16. Allist

    SoC01 Acha Punyeto, unaharibu ubongo na nguvu zako

    Habari wana jamiiforum, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. Nimeamua kuchukua nafasi hii kuelezea athari za video za ngono (porn) katika ubongo wa mwanaadamu, hasa kwa sisi vijana...
  17. Yofav

    SoC01 Nilivyopata tabu kuacha kupiga Punyeto

    Habarini sana wanajamvi, Leo kijana wenu nina Uzi kidogo ambao maybe unaweza ukakuonya wewe mwenye mpango wa kutaka kujaribu kuanza kupiga punyeto au kukufunza wewe kijana au mwanaume mwenzangu ambae unahangaika kuacha tabia ya kupiga punyeto na umeshindwa, Fuatana nami;- Mwaka 2015 nilikuwa...
  18. Ethan Cruz

    Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  19. The king mswati

    Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  20. sky soldier

    Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
Back
Top Bottom