Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana.
Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara.
PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto.
Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa kuwa sitamani kurudi nyuma bali kusonga Mbele.
Nazidi kuona kuwa inawezekana kuacha kupiga punyeto...
Natumaini kwema humu jamani.
Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back.
Moja kwa moja katika topic, nimekuwa nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu. Nilikuwa...
Punyeto ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.
Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.
Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
dawa
kuacha punyeto
kujichua
madhara
maisha
miaka
mitazamo
mke
msaada
ndoa
picha
punyeto
tendo la ndoa
ugumba
uhusiano
uraibu
utafiti
utu
video
vijana
vitu
wanaume
wanawake
Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa
Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua.
Mida ya usiku wa giza ndio mengi ya giza hufanyika na hata nguvu za giza kutawala, yapasa mtu kabla hajalala aombe kwa...
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari?
Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho
Wengi hutazama...
Wakuu habari za mida tena, hamjambo natumaini na kama mko poa nijambo la kheri.
Maada.
Nimeamua niweke kisa changu kuhusu punyeto ilivyo nikosesha papuchi mwaka 2012. Kipindi hicho nilitokea kumpenda binti ambae alikuwa ananivutia sana na nilimpenda kupitiliza yaani kufa kuoza. Nilimtongoza...
Hakuna sehemu kuna mademu wanaojiuza kwa bei rahisi kama Dar.
Ukija uko sinza, buguruni kwa wahaya mpaka kwenye pub zao zote kuna mademu wa bei Rahisi kinyama.
Yaani ukiwa na buku 2 tu unapona unapewa papuchi na ule wimbo uliokuwa unakusumbua wa Rayvany nyegezi unapona unakuwa mpya kabisa...
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia. Wakati mwingine mtu unashindwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.