pwani

For the province in Kenya known as "पानी" in Swahili, see Coast Province.Pwani Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Kibaha. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,098,668, which was slightly lower than the pre-census projection of 1,110,917. From 2002 to 2012, the region's 2.2 percent average annual population growth rate was the seventeenth-highest in the country. It was also the 21st most densely populated region with 34 people per square kilometre. With a size of 32,407 square kilometres (12,512 sq mi), the region is slightly larger than the U.S. state of Maryland (32,133 square kilometres (12,407 sq mi)).
The region is bordered to the north by the Tanga Region, to the east by the Dar es Salaam Region and the Indian Ocean, to the south by the Lindi Region, and to the west by the Morogoro Region. The word "पानी" (pānī) in Kiswahili means "coast".

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Trilioni 1.9 zinatajwa kuboresha huduma ya maji Dar, Pwani kwa miaka 4, vipi hali ya upatikanaji mtaani kwako?

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa kipindi cha miaka 4 ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya...
  2. Katibu UVCCM Pwani atembelea wanufaika mikopo asilimia 10

    Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya vijana unaotolewa na halmashauri zote nchini. Pia ametembelea vikundi vya waendesha Pikipiki...
  3. Mwenge wa Uhuru 2025 kuzinduliwa Mkoani Pwani

    Mkoa wa Pwani umeteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 zitakazozinduliwa Aprili 2, mwaka huu katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Pwani sherehe zitakazohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa, mikoa jirani na wilaya zote za Mkoa wa Pwani pamoja na...
  4. Ubunifu: vyakula vya kibongo.. Bara na Pwani .... Makabila yote, mapishi yote

    Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani visu na uma😂 TAHADHARI: KAMA UNA NJAA NA UKO MBALI NA SEHEMU YA KULA USIFUNGUE HUU UZI Nb: Makande...
  5. Hongera Rais Samia hatimaye Wavuvi wa Pwani umeanza kuwakumbuka

    Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari" Leo hii umewatambua na kuwakumbuka kwa kuwapa boti 30+ Ombi langu ni moja tu...wapelekee meli za uvuvi wajiajiri kwenye kazi...
  6. Pre GE2025 Barua ya wazi kwa mheshimiwa ex mayor wa ubungo na mwenyekiti wa chadema kanda ya Pwani

    Salaam na heshima kwako mheshimiwa Boniface Jacobo Mayor mstaafu na Mwenyekiti wa Kanda ya pwani chama Cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kiongozi kabla ya kusema niliyowiwa kuyasema naomba kutambua unao washauri wengi sana wenye vyeo na nafasi kubwa kuliko Mimi ila naomba unipe dakika...
  7. X

    Meli vita za China zinafanya mazoezi halisi ya moto katika pwani ya Australia. Serikali ya Australia ijifunze yaliyoikuta Ukraine

    Hili ni onyo kwa Australia ambayo ni "the U.S vassal state" kibaraka wa Marekani. Kwa nini China ipeleke meli zake 3 za kivita pwani ya Australia na kufanya mazoezi hayo kati kati ya Australia na New Zealand kwenye bahari ya Tasmania? Chinese exercises 150km from Sydney Ikumbukwe kuwa...
  8. TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu maboresho ya miundombinu kituo cha Ubungo kuanzia Feb 22-28 na kuathiri maneno ya Dar, Zanzibar na Pwani

    Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti kwenye baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani. Tunapenda kuwatia hofu wananchi kuwa maboresho...
  9. TANESCO yatangaza baadhi ya maeneo ya Zanzibar, Dar na Pwani kukosa umeme kwa nyakati tofauti

    TAARIFA KWA UMMA MABORESHO KATIKA KITUO CHA KUPOKEA KUPOZA NA KUSAFIRISHA UMEME WA MSONGO WA KILOVOTI 220 CHA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM Jumatano, 19 Februari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na...
  10. M

    Wizi wa mita za maji ni janga jipya Dar na Pwani. Nani analipa fidia?

    Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena? Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje? Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji. Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu...
  11. TRA yafanya ziara vituo vya forodha ukanda wa Pwani ili kudhibiti shughuli za magendo

    Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na Bagamoyo lengo likiwa ni kuangalia utendaji wa shughuli za forodha katika kudhibiti shughuli za...
  12. LATRA Pwani: Tunaziwajibisha Daladala zinazokatisha ruti Mbezi - Mlandizi, pia tumesitisha utoaji wa Leseni mpya

    Februari 8, 2025, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Dar na Pwani kushughulikia kero ya daladala zinazotoka nje ya Dar es Salaam, ruti Mbezi - Mlandizi kwa madai kuwa zinakatisha ruti na kuishia Njuweni Maili Moja. Akasema kuwa hali...
  13. Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi atiwa mbaroni akidaiwa kubaka watoto yatima watano kwa nyakati tofauti

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo. Muhumiwa huyo alikuwa...
  14. T

    Pre GE2025 Pwani: Maafisa waandikishaji wasaidizi wa daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata waapishwa kiapo cha kutunza siri

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa katika mafunzo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Halmashauri...
  15. Ndugu zetu wetu wa pwani hii aina ya ukataji viuno wa mabinti ilikuwepo tangu enzi au sasa imekuwa re-generated hadi kupitiliza?

    Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi inakuwa "18+". Sasa sijui ni mabinti wa siku hizi wameongeza manjonjo hadi kupitiliza au tangu...
  16. Wahalifu waliowatumbukiza Wazazi kwenye shimo la choo kisha kuondoka na mtoto wakamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limefanikiwa kumpata mtoto mwenye umri wa miezi sita aliyechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuvamia nyumba ya Melksedek Mrema na mkewe Joan Gabriel, ambao nao wakati wa tukio hilo walitupwa kwenye mashimo ya choo, kabla ya watuhumiwa kuondoka na mtoto huyo...
  17. Mtoto aliyeibiwa Pwani akutwa Ruaha Morogoro

    Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo, inadaiwa kwmaba mganga mmoja wa kienyeji tayari anashikiliwa kwa kuhusika na wizi wa huyo mtoto...
  18. P

    PWANI: Hatimaye wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa rasmi Mbowe wasema bila Lissu CHADEMA ni kama CUF ya Lipumba

    https://www.youtube.com/live/FqER78na70U?si=fdkhYBIEbHCPvXlP Huenda kweli safari ya Mbowe imewadia wimbi la mabadiliko ni kubwa sana ndani ya CHADEMA lazima tusikilize sauti za watu. Ukipewa rushwa kula ila kamwe usiuuze chama kwa vipande vya pesa.
  19. R

    Mwenye trekta za kukodisha maeneo ya Dodoma , Iringa, Lindi, Pwani, Dar na Tanga tuwasiliane

    Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
  20. KANDA YA PWANI: Mwenyekiti mstaafu wa Kanda hiyo Baraka Mwago amewataka wajumbe wote wa mkutano mkuu wamchague Tundu Lissu ili chama kisife

    Allahmdulillah! Nilipata heshima ya kuhudumu kwenye nafasi mbalimbali za chama chetu kuanzia nyumbani Mkuranga, kisha Uenyekiti wa Mkoa wa Pwani. Niliiongoza Kanda ya Pwani kwa miaka mitano wakati wa mawimbi makali ya mwendazake, na nikahudumu katika Kamati Kuu ya Chama kwa miaka 5. Kwa uzoefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…