pwani

  1. Carnivora

    Mtandao wa Airtel unasumbua mno maeneo ya mikoa ya Pwani

    Habari zenu wana jamvi, Katika siku za karibuni mtandao wa simu wa Airtel Tanzania unasumbua sana maeneo ya Dar es Salaam, Mkuranga, Kibiti, Rufiji hata Kilwa. Hili tatizo limewahi kujitokeza siku za nyuma lakini wenye mtandao wao wakakaa kimya kama vile hakijatokea kitu. Nitaeleza siku ya...
  2. I

    Tahadhari: Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani ya Tanzania

    Kimbunga hiki/upepo mkali ukiambatana na mvua kubwa huenda vikatokea pwani yetu hususan miji ya Lindi,Mtwara,Dar es salaam,Unguja,Mombasa,Malindi Chanzo kinasema upepo huo unatarajiwa kati ya tarehe 21/4/2021 na 26/4/2021. Hivyo tuchukue tahadhari na bahari kwa siku hizi,na kufuatilia utabiri...
  3. Nigrastratatract nerve

    Rais Samia: Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana

    "Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kuna uzandiki mwingi sana, kila mtu anazusha lake, naomba sana viongozi wa dini mlikemee hili na mengine yote yanayoenda kinyume na maadili na miiko yetu. uzandiki: hali ya unafiki, udaku, umbeya, uongo. Wanafiki mama anawaonya acheni unafiki Wambeya mama...
  4. Miss Zomboko

    Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni

    KATI ya watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani,watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana hasa na familia zao kuwa duni hivyo kushindwa kuinua uchumi wa familia hizo. Pamoja na hilo, hali ya usajili katika mfuko wa Bima ya afya ya jamii (CHF)hairidhishi ,hadi sasa ni kaya 10,038...
  5. mngony

    Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani itapendeza

    Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani. Ikishindakana Pwani basi hata Mkoa mmoja wa Kanda ya Ziwa awe karibu na nyumbani na karibu na nyumba ya...
  6. P

    Natafuta shamba pwani

    Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo: 1. Kuanzia heka 1 mpaka 5 2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo 3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au bagamoyo bypass (barabara mpya ya bagamoyo) 4.miundo mbinu muhimu kama barabara, maji na umeme iwe...
  7. Tomaa Mireni

    Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
  8. S

    Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

    Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4. Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na...
Back
Top Bottom