Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo:
1. Kuanzia heka 1 mpaka 5
2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo
3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au bagamoyo bypass (barabara mpya ya bagamoyo)
4.miundo mbinu muhimu kama barabara, maji na umeme iwe...