Ninaposoma baraka za Ibrahim,naona wazi kabisa kama vile wapo watu wanaofurahia nchi ya maziwa na asali.
Nikiangalia nchi hii ya Qatar imebarikiwa na chemi chemi ya mafuta kiasi kwamba hata mtu asiye na ajira wala kazi analipwa na serikali dola 2000 kila mwezi.
Watu hawalipii matibabu,mtu...
Wanaukumbi.
Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza.
Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
Droo ya robofainali ya #TotalEnergiesCAFCL & #TotalEnergiesCAFCC
itafanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha, kwa ushirikiano na mshirika wa haki za vyombo vya habari wa CAF, @beINSPORTS_EN siku ya Alhamisi, Februari 20, 2025.
Hatua iko tayari tunapopanga ratiba ya kusisimua ya robo fainali...
Habarini Wakuu!!!!
Nahitaji mwenye Connection ya Ajira kwa nchi hizi (Canada, Dubai, Qatar, Denmark, Finland, Iceland, Norway,Sweden).
Kama mnavyojua Bongo ajira ni kipengele kidogo, Sasa katika kuangalia mtandaoni naona wenzetu Wakenya wanasafiri sana nchi hizo kwenda kufanya kazi, na siku...
Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
Mzuka wanajamvi!
Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022.
Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook...
Ilikuwa majira ya saa saba usiku na dakika 37, tarehe 31 July 2024, ndani ya jiji la Tehran nchini Iran. Mlipuko mkubwa ulisikika sehemu ambayo daima dumu usingetarajia. Mlipuko ule ukaondoka na maisha ya Ismail Haniyeh, aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hamas.
Mgogoro wa Mashariki ya Kati umekuwa...
Historia bwana tamu sana.
Leo wakati natazama vintage mwadada Palki akanirudisha mwaka 2007, ambapo hamas ilishinda uchaguzi na nchi zote zikakataa kutambua serikali yake isipokuwa Turkey na Qatar.
Mwaka 2011, Obama akaomba Qatar iwapatie hamas ruhusa ya kuweka ofisi zao Doha na isaidie...
Wanaukumbi.
Qatar inakanusha rasmi ripoti zinazosambaa kuhusu kuwatimua Hamas na kufafanua msimamo wao kuhusu upatanishi huo.
Msemaji Rasmi wa Wizara ya Mambo ya Nje: Juhudi za Qatar kupatanisha Hamas na Israel zimesitishwa kwa sasa.
Dk. Majed bin Mohammed Al-Ansari, msemaji rasmi wa Wizara...
Matukio ya hivi karibuni huko Gaza na Lebanon ambayo yameonwa na wadau wengi kuwa ni ukiukwaji mkubwa wa Israel wa haki za binadamu na kuvunja kanuni za Umoja wa Mataifa, yamefanya baadhi ya nchi kuanza mkakati wa kuandaa pendekezo la kuwaondolea Israel uanachama wa Umoja wa Mataifa.
Nini...
Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU.
Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU...
Qatar Airways has acquired a 25% equity stake in South African airline Airlink, one of Africa’s largest carriers.
The deal, which was signed on August 20, 2024, in Doha, builds upon years of collaboration between the two airlines, which already codeshare some of their flights.
After this...
TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of Understanding-MOU) kushirikiana katika nyanja mbalimbali za Sekta ya Maliasili na Utalii.
Hayo...
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu...
US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror group rejects another ceasefire proposal, the Washington Post reported Saturday morning.
Qatar...
Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi......
Jamaa anakula maisha tu, kayapatia...
======================
Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
Jamaa wamekomalia misimamo mikali huku wakiishi maisha mstarehe kwenye majengo ya kifahari Qatar, ilhali kule Gaza wenzao wanapokea kichapo kila siku, Qatar imeanza kuonyesha dalili za kuwatimua......
According to Egyptian and Hamas officials, Qatar has threatened to expel Hamas officially from...
Ubalozi wa Qatar Tanzania kwa kushirikiana na Tasisi ya Qatar Charity, kwa niaba ya Serikali ya Qatar, imewasilisha misaada muhimu ya kibinadamu kwa waathirika wa Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Hanang mkoani Manyara.
Shehena ya misaada hiyo iliyotolewa leo tarehe 18 Februari 2024 kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.