Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae WS INSIGHT kampuni zote hizi ni za ulinzi ambazo kwa hapa nyumbani ndizo zenye malipo mazuri...
Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani.
Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe!
Mwenye kisa hiki tuelezeni.
Position: Admin Coordinator Officer
Location: Dar es Salaam
Reports to: Country Director
Main tasks and responsibilities
- Provides the necessary logistical support for all office work, especially for communications, transportation, reservations, warehousing, permits, etc.
- Follow up on all...
Akataa Wapalestina wasipewe dola yao, (yaani two-state) msimamo wake ni mapigano yaendelee hadi Israel ifutwe, tatizo anayasema yote haya akiishi kwa raha na starehe huko Qatar wakati wana Gaza wanaendelea kuuawa na majengo yao kubomolewa kote.
Hii iwafikie mashabiki wa maugaidi ya HAMAS, msio...
Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Wizara ya Mambo ya Nje ya India imesema adhabu imepunguzwa lakini haijfafanua imepunguzwa...
Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao.
Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki.
Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
Mahakama ya Qatar imetoa hukumu ya kifo kwa raia nane wa India ambao ni wafanyakazi katika Kampuni ya Al Dahra Nchini Qatar baada ya kukutwa na hatia ya kufanya ujasusi.
Maafisa hao walikamatwa Mwaka 2022 wakidaiwa kufanya ujasusi kwa kutumia teknolojia ya Qatar wakati wakiwa watumishi wa...
Doha 2 October 2023
Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha
Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
Position: Business Services Coordinator
Term: Temporary Contract
Key Accountabilities
Able to follow and understand local payroll practice, processes, requirements, local labor law changes all in cooperation with outsourced consultant
Assist in verifying all commercial support related invoices...
Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini.
Katika kikao kati ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Widam Food, Al Noubay Al Marri, wa...
Jamani kama ni kulia leo nimelia, enough is enough, yaani miaka 60 plus ya uhuru bado tupo kwenye ‘Least developed countries?’ Jamani watanzania tuamke, wenzetu Kenya hawapo kwenye hii list
Sheikh Jassim bin Hamad Al Thani wa Qatar na Sir Jim Ratcliffe wa Uingereza ndio wawekezaji walioweka dau rasmi kwa lengo la kuichukua klabu kutoka kwa wamiliki wa sasa Familia ya Glazer ambao wamekuwa wamiliki tangu Mwaka 2005.
Wote wawili kila mmoja kwa upande wake amejinasibu kuwa nia yao ni...
Kikundi cha wawekezaji kutoka Qatar wapo tayari kutoa ofa ya kuinunua Manchester United, ambayo haitowezwa kufikiwa na matajiri wengine wanaotaka kuinunua timu hiyo.
Familiya ya Glazer, ambao ndio wa miliki wa klabu hiyo wanataka kuiuza kablu hiyo katikati mwa mwezi huu wa February.
Mtandao...
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc
Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa.
Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k.
Ni...
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Mshambuliaji huyo amekataa ofa ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye ametoa ndege yake binafsi kwa wachezaji wote majeruhi wa taifa hilo kwa ajili ya kwenda Qatar kushuhudia mchezo wa fainali dhidi ya Argentina, leo Desemba 18, 2022.
Inadaiwa Banzema alikasirishwa na maamuzi ya Kocha wa...
1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC
2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC
3. Wana Golikipa Bora sana
4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine
5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa
6. Argentina ni Timu ya Mungu
7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa
Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
Tumekuwa na wakati mzuri sana kuangalia kombe la dunia na sasa tunakaribia kufika mwisho. Kila timu imevuna ilichopanda. Argentina ndio timu bora zaidi kwenye michuano hii.
Lionel Messi anaenda kuwa kinara baada ya mchezo mkali dhidi ya Ufaransa. Atastaafu kwa heshima kama mchezaji bora zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.