Nitabakia kuwa timu Argentina, France na Germany pekee, na hakuna timu nisiyoipenda na ninayoiombea mabaya kama ya Brazil kutokana na jezi yao, na hasa baada ya GENTAMYCINE kugundua kuwa 99.9% ya mashabiki wa timu nisiyoipenda na ninayoichukia Tanzania ya Avic Town Magodoro Kunguni Tigo Pesa FC...
Nasser Al-Khelafi amesema kuwa vyombo vya habari haitendi haki kwa jinsi vinavyotoa taarifa hasi kuhusu Qatar ambao ni wenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia 2022.
Qatar imekosolewa na vyombo vya habari hasa vya Magharibi kuhusu masuala ya haki za binadamu, kupinga mapenzi ya jinsia moja na...
Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi.
Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Position
No.
Player
Club
Age
Caps
GK
1
Alisson
Liverpool (ENG)
30
56
GK
23
Ederson
Manchester City (ENG)
29
18
GK
12
Weverton
Palmeiras (BRA)
34
11
DEF
4
Marquinhos
PSG (FRA)
28
70
DEF
14
Eder Militao
Real Madrid (SPA)
24
23
DEF
3
Thiago Silva
Chelsea (ENG)
38
108
DEF
2
Danilo...
Aisee kiukweli siwezi kuelezea safari yangu ya fungate toka marekani missouri nyumbani mpaka qatar aisee huku yues.Habari majobless na mnaishi kwa shemeji zenu samahani kama nitawakera kwa hizi bata zangu ila pesa zipo kwa ajili yetu na nyie kuna siku mtazikamata tu huku yues.
Safari yangu mimi...
Qatar masharti kila kukicha mara sijui hamna pombe mara uje na cheti cha ndoa, mara sijui nn Yani masharti kibao daily. Kwann msiandae kombe la maadili ya dini pendwa?
Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.
Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia.
Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man.
Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass.
Wameshapigwa 2 bila.
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
Rais huyo wa zamani wa FIFA, amedai kuwa hakutaka michuano hiyo ya 2022 ichezwe Qatar kwa kuwa ni nchi ndogo kuweza kusimamia shughuli hiyo kubwa ya soka.
Blatter (86) ambaye alikuwa Rais wa FIFA wakati maamuzi hayo yanafanyika Mwaka 2010 anasema yeye aliipigia kura Marekani huku akimlaumu...
Habari wadau wa michezo,
Kuna tetesi au taarifa ya kweli ikihusu TBC1 kuonyesha mechi za Kombe la Dunia nchini Qatar mechi takribani 28 ni jambo la kupongezwa sana.
TV'S Kama KBC, UBC, MBC YA Malawi hizo TV's kila Kombe la Dunia wanaonesha ila TBC tu ndiyo huwa wana tuweka gizani, hata mechi...
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20.
Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad Al-Suwaidi amesema hadi sasa wamepokea maombi karibu milioni 1.7 ya wageni wanaohitaji vibali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.