Wengi hawajui ila historia ina nafasi kubwa maishani.
Wanaoitunza hufahamu mengi hata kabla ya tukio hivyo kupelekea kupatia kiasi kwenye jambo husika
Nisiwachoshe iko hivi;
1986 fainali Argentina na Ujerumani, Argentina akabeba ndoo
Miaka minne baadae 1990 fainali Argentina na Ujerumani...
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar
Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar.
Grant Wahl, 48, alianguka ghafla alipokuwa akitazama mchezo...
Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu.
Hawa watanzania of course sasa...
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.
Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali
Ureno...
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November.
Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
Mama kashamaliza hilo suala, Waqatar wamesema haina shida na walikuwa hawana mpango wa kuendelea kubaki nao.
Maamuzi ya awali yanaonesha uwanja huo utafungwa Mwanza.
Waziri wa michezo juzi alikuwa maeneo ya usagara kuangalia eneo utakapofungwa.
Maswali ya kujiuliza
-Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar?
-Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku
-Wachambuzi kuchambua matukio kama penati...
Hamna namna kwa waarab sasa, na wao wameona wachangamkie fursa, Mrusi hana wa kumuunga mikono labda waarab wa Bongo tu...
=================
Germany will receive liquefied natural gas (LNG) from Qatar from 2026 and for a period of at least 15 years, Qatari Energy Minister Saad Sharida al Kaabi...
Ujerumani Ni taifa kubwa kiuchumi sana
Ingawa juzi kwenye kuwasili kwenye kombe la dunia akitokea mjini Frankfurt aiifika na nembo za kuashiria kukubali ushonga na kusapoti ushoga lengo na makusudi yake ilikuwa kuwaudhi waarabu, waarabu wakawakatalia kutua katika uwanja wao waondoke wakabadili...
Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar.
Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of...
Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi.
Na bado...
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara...
Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe.
Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
Naandika haya nikijinasibu kutokuegemea kwenye dini yeyote au zozote zilizo katika dunia yetu hii pendwa ndogo sana inayoitwa Earth.Nimesema dunia yetu ni ndogo sana maana ni kama punje tu dhidi ya sayari zingine zilizo angani kama Jupiter.Dunia ni kama punje ya mtama dhidi ya mpira wa basket...
Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa.
Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.