Maombi tumeanza saa tano usiku hadi sasa hivi yanaendelea na ni kila siku.
Sasa hivi ndio mkurugenzi mkuu Daniel Lema kaingia na maombi mengine.
Hapa shetani lazima aombe poo!
Hongereni watu wa Arusha.
Kwa maombi haya huwa mnalala kweli? Tupeane uzoefu.
Watu wengi waliopiga simu na tatizo...
Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
"Kuna Wanaume wengine Wana tabia za Kike Kike za kupenda Kuwasema Watu vibaya ambao wameishi na kufanya nao Kazi kana kwamba hawakuwa na Mazuri yao au Yeye nae hana Mapungufu yake. Tafadhali ukiachika nyamaza tu kwani Kutajataja Watu kunaonyesha jinsi gani unavyowakubali na ulivyoumia kutokuwa...
Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi, Mwanasaikolojia Mwalikwa Dkt. Charity Xavery leo ametoa kitu Kiitwacho Ukweli Mchungu kwa Wasikilizaji...
Dah inatisha kwa kweli wanachambua mshahara wa Messi kuna jamaa anasema kwamba mshahara wa mwezi wa Messi una finance bajeti ya nchi ya Tanzania, dah nimejisikia hata kulia inakuwaje watu ma genius kama sisi hatuna ajira halafu vilaza wako kwenye media wanaongea pumba.
Eti bajeti ya tanzania ni...
SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025.
Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano
Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu ya Serikali
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile amesema...
WANANCHI MULEBA WAIOMBA SERIKALI KUWAFIKISHIA MAWASILIANO YA REDIO NA SIMU
Wananchi wa Wilaya ya Muleba wameiomba Serikali kuwafikishia huduma za mawasiliano ya redio na simu wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Mathew wilayani humo...
Habari za kazi wakuu,
Kwa majina naitwa Hagai Anyimike, ni Fundi Simu, Radio, Tv na vifaa vingine vya umeme, lengo la kuandika uzi huu ni ombi kwenu hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwa unahitaji huduma ya kutengenezewa kifaa/vifaa vyako naomba unipe hiyo kazi nitakufuata hapo ulipo hivyo pia...
Wasalaam,
Haji Manara aliwakera wengi sana alipo diriki kuwaita waandishi wa habari hasa za michezo kuwa ni "takataka" kwakweli ni maneno yaliyo fikirisha sana wengi na wengi walioneshwa kukerwa sana na kitendo kile cha udhalilishaji kilicho fanywa na haji manara na wengi walitegemea hatua...
Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini?
Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
Awamu ya sita inalo Jambo la kutafakari kuhusu mmomonyoko wa maadili unaoendelea Nchini. Tumewalea watu wachache wameafika mahali wananguvu kuliko Viongozi wa kitaifa. Tunaweza tukadhani tunapambana na wapinzani kumbe tunapambana kuuwa usawa katika jamii.
Tuna vyombo vya dola ambavyo kwa kiasi...
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.
Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
Nilinunua radio ( home cinema) zamani kidogo kwenye mwaka 2007/9 kupitia ndugu yangu aliyekuwepo Africa ya kusini na kuileta hapa nyumbani.
Bahati mbaya vibaka walivunja na kuiba hiyo radio na kuniachia subwoofer yenye namba za udahili subwoofer model micro 1500dssw.
Nilikuwa nahitaji radio...
Habari Wakuu,
Ninaomba msaada kwa wenye uelewa kwenye Masuala ya Ufunguzi wa kituo cha Radio.
Nina ndoto ya siku nyingi ya kuweza kumiliki kituo cha Radio ila kwa sasa ninataka nijipange ili itapofika Mwishoni mwa mwaka 2022 kama mungu akinijaalia uhai niwe nishafungua hii Radio Station...
Habari wakuu,
Radio hii Sony genezi mhc-gtr55 tangu ikiwa mpya inasoma flash ikiamua tu. Labda kuna masharti nakosea.
Naweza weka flash mara hii ikasoma fasta na kucheza nyimbo. Naweza weka baadae ikawa inasoma "please wait" au "reading" kwa muda mrefu hata siku nzima.
Tatizo laweza kuwa nini...
Kwa wamiliki wa vituo vya Radio wanaohitaji Live Radio streaming
Ninatoa Radio streaming service @ 128Kbps kwa Sh 100,000 tu kwa mwezi
*Radio itapatikana kwenye Tune-in, streema.com na embeded player tunaweka kwenye website ya radio yako
*Ikiwa huna website nina design na kusajili website kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.