Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
Homeboyz Radio has suspended two radio presenters and a DJ for two weeks in relation to comments they made that appeared to victim shame and justify sexual assault against women.
Shaffie Weru, Neville and DJ Joe Mfalme, made the insensitive remarks on Wednesday when hosting the station’s...
Call/whatsapp 0656 666 662
Radio mpya ya gari touchscreen inch 7
-inasupport Bluetooth
-inasupport mirrorlink
-inasupport usb,memorycard
-inaplay music na video kwenye flash
-ina support channels zote za fm
-inakuja na reverse camera
-radio ina warranty
-bei 140,000 tu pamoja na kufungiwa BURE...
Mara kwa mara nikiamka asubuhi huwa napenda kusikiliza radio vipindi vya asubuhi. Asilimia kubwa ya vipindi vya asubuhi vinafanana kimaudhui hapa nitachukua sample ya vipindi vitatu. JOTO LA ASUBUHI ya EFM, POWER BREAKFAST ya CLOUDS na GOOD MORNING ya WASAFI FM.
Vipindi vyote vinaundwa na...
Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi.
Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
"Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya"
"Na ni Kiongozi huyo huyo pia amekuwa na tabia ya kuja Kwangu Kocha wa Makipa na mpaka kwenda kwa Kocha...
Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita
Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda,
Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo?
Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
Kama una radio au subwoofer ya zamani,usiichukie radio yako bali weka hiki kifaa ili uweze kutumia Bluetooth, flash na memory card kama radio za kisasa.
Sony, Aiwa, Panasonic n.k hizi radio zinapiga sana lakini kama ulinunua kitambo utakuwa unamiss flash na Bluetooth.
Subwoofer za zamani zote...
Kama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudownload nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali
PIA UNAWEZA TEMBELEA CHANEL YANGU YA YOUTUBE INAITWA DVJ NASMILETZ https://www.youtube.com/@NASMILETZ?sub_confirmation=1 KISHA SUBSCRIBE...
Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.
Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema MKUDE ALIMTONGOZA CEO WA SIMBA aitwaye Barbra Gonzalez
Huwezi epuka maneno kama hayo mtandaoni lakini...
Habari wana jukwaa.Leo nimeamua kulipanda jukwaa kwa kueleza na kukumbusha mengi wakati radio zikiwa zinavuma sana na nafahamu wengi tulikuwa wasikilizaji wazuri sana wa vipindi mbalimbali vya radio.
Binafsi mimi mi nililua mrahibu sana wa kusikiliza radio hilo lilipelekea baba yangu mzazi kuwa...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo?
Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k...
TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa.
Wasafi Media...
Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa.
wote mnakaribishwa
===
Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.