Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu.
Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo!
Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku...
Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!"
nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa nikabeba weka kwenye bajaji huyo tukaanza safari ya kumpeleka ghetto kwake!.
tukiwa njiani jamaa...
Anasema Kuna ka demu alikatongoza kakakubali
Sasa kakaa nako mwezi kaja kugundua kana bwana wake wa boda boda
Na hakakumuambia akikauliza kana leta Kona Kona wewe apo unaona Nini mdau mm nimeshindwa kumshauri
Wakuu habari zenu.
Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia...
==
Leo Ezekiah Wenje mjumbe wa Kamati Kuu CC anakuja kutuambia eti Mh LISSU hajachangia chochote kile akiwa mbunge kwenye bunge la 11.
Tujiuluze, bunge la kumi na Moja (11) lilikuwa mwaka 2015-2020 Lissu alikuwa Bungeni?
Nani asiyejua kipindi Mh LISSU alipigwa risasi na baadae Ubunge wake...
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Umri 18-34
Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na moja ya majukumu ya huyo mke atakuwa anasimamia baadhi ya Biashara zake na kutuma taarifa.
Dini -...
Kuna watu ni kama wamelaaniwa ikiwemo huyu rafiki yangu
Tafsiri ya maendeleo Kwa MTU mweusi itakuwa Ina maana tofauti.
Juzi nilimsindikiza jamaa yangu Kwa wazazi wake aisee ni pachafu Sana. mama yake anaishi Kama mnyama.
Nyumba hovyo, choo cha makuti hamna maji, mama yake around 70 yrs...
POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA
Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama
Yawezekana ulilala ukiwa na maswali mazito yaliyokosa majibu, umeamka ukiwa na maswali yaleyale yasiyokuwa na majibu juu ya...
Nisiwachoshe sana, tabia za huyu rafiki yangu ni hizi.
*Ananizungumzia vibaya kwa masela nikiwa mbali, inafika point anawaambia wajaribu kuanzisha ugomvi na mimi halafu yeye atawalipa pesa.
*Anamponda na kumkosoa kila mwanamke nitakae kuwa nae katika mahusiano ila nikiachana na huyo mwanamke...
Salamu sio Sasa labda badae.
Ndugu nasikitika Sana na Sasa nahitaji ushauri maana nipo katika mtanziko wa huzuni na kutia huruma baada ya kunununiwa na rafiki yangu wa hapa kijijini.
Ifahamike kuwa ili wananchi wakuchague kuwa mwenyekiti hasa huku vijijini basi uwe na vihela hela vya hapa na...
Jamaa alikuwa anatamba sana na IST mpya kabisa, apartment kali. Sasa jamaa kajichanganya alikuwa na mtu wake sahihi huyu mshangazi alikuwa anamvuna tu.
Swali langu kwenu wakuu kwanini mishangazi inapenda vijana wa makamo?
Habari zenu wanaJF wenzangu,
ONE 1:
Kwanza naomba nitumie nafasi hii kumshukuru kiongozi mkuu wa mtandao wetu huu Mhe. Maxence Melo na team yake nzima ya JF kwa kuuboresha mtandao wetu, hadi kufikia level ya kimataifa. Mtandao huu umekuwa sauti kwa watu wasiokuwa na sauti, umekuwa mtetezi kwa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
My weekend is wacko.
Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana
Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia
Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa
Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo
Nimeweka na kielelezo
Dominika njema
Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara, wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake. Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda mrefu, lakini kukatokea na kutoelewana na wenyeji wake wakiwemo wazazi na mashemeji kuhusiana na hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.