Wewe:Oya!
Yeye:Niambie!
Wewe:Mzima?
Yeye:Mimi mzima wewe je
Wewe: Niko poa
Yeye:Okay
KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII:
Jamaa:Mambo mrembo wewe
Msichana:poa mzima wewe?
Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe...
BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY
Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu.
Kifo hakizoeleki hata kidogo.
Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa.
Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
Buriani rafiki yangu Wendo Mwapachu!
Leo jioni katika makaburi ya Kisutu tumemzika Wendo Mwapachu.
Nimemjua Wendo kwa kujulishwa kwake na Ted kama tulivyozoea kumwita.
Ted sasa hivi Chief Edward Makwai wa Siha ndiye aliyenijulisha kwake.
Wao ni ndugu wa damu na ni siku hiyo hiyo nilimjua...
Miaka 4 iliyopita nilikutana na huyu jamaa. Ilikuwa ndani ya basi la kutoka kwetu huko nyanda za juu kusini magharibi ambako kwa wakati ule nilienda kumzika babu yangu mzaa mama (Rest in peace Grandpa). Tulipofika Morogoro, abiria wengine walishuka na kupanda wapya ili tuimalize safari ya...
Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia.
Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
Rafiki yangu wa karibu, aliachwa na mwenzi aliyemhudumia kwa miaka takribani sita (6) hivi. Alianza nae mahusiano binti akiwa amemaliza kidato cha nne, aliapata ufaulu wa daraja la nne (div 4 point 28)
Alijitoa kumlipia ada na mahitaji mengine ya kibinadamu tangu alipoanza masomo ya ngazi ya...
Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu.
Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama".
Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu.
Ilikuwa majira...
Wakuu Salaam,
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Niliwahi kuwa na rafiki yangu wa karibu sana,alikuwa sio mgonjwa au sikujua anaumwa. Tulikuwa tukikutana ana tabasamu zaidi ya mimi na muda wote alikuwa anafuraha mpaka mimi alikuwa ananishauri akiniona sina furaha.
Siku moja aliniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.