rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Rafiki yangu ni mtu wa sifa ananikwaza sana

    Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho...
  2. Melki Wamatukio

    Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

    Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
  3. kante mp2025

    Kilichomkuta rafiki yangu kazini kwake

    Rafiki yangu mmoja kanipa kisa chake kaomba nimshauri nimemwambia anipe muda nikakumbuka wazee wa busara wako hapa nitashare kisa chake ili nipate hoja imara za kumshauri. Rafiki yangu huyu anafanya kazi katika kampuni Z. Juzi akiwa kazini kwake ambako wanaingia saa moja asubuhi na kutoka saa...
  4. mdukuzi

    Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

    Mwaka jana rafiki yangu akiwa amepakiza familia yake kwenye gari binafsi alipata ajali ba kufariki hapohapo. Kwa ufupi ni kwamba kuna lori lilifeli break likawa linakuja kasi upande wake yeye akidhani ni mbwembwe za dereva wa lori Lori lilipomkaribia akatoa tusi ile anamalizia herufi o tu...
  5. G

    Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  6. Webabu

    Rafiki yangu Mahmoud Ahmadinejad ajisajili kugombea uraisi Iran, Ni furaha sana kwa wapigania haki duniani

    Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili kuliongoza taifa hilo. Tangu kuondoka kwenye cheo cha uraisi baada ya vipindi viwili vya uraisi hapo mwaka...
  7. T

    Ndoto ya rafiki yangu wa karibu

    Habar za jumamosi wana-jamiiforums, Moja kwa moja naomba nishee nanyi kisa kimoja kinachomkuta mtu wa karibu ambaye aliamua kushea namimi hili jambo lake Huyu jamaa yangu tulikuw pamoja enzi za utoto wetu , sasa huyu jamaa huwa na tabia ya kuota ndoto na mara nyingi hutokea au linatokea jambo...
  8. S

    Rafiki yangu ni Mwinjilisti WA KKKT anahitaji mchumba baadae awe make mwenye sofa zifuatazo Mtumishi WA Umma aliyezaliwa mwaka 1983-1988 antfute inbox

    Rafiki yangu ni Mwinjilisti WA KKKT anahitaji mchumba /mke aliezaliwa 1983-1988 anipigie namba 0755 144 754 nimuunganishe na muhusika. Asante
  9. Mohamed Said

    Namkumbuka rafiki yangu Ali Abdallah Kazua

    NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU ALI ABDALLAH KAZUA Mwaka wa 2021. Utasema jana. Nilikuwa nikikaa na Kazua tunakumbushana mengi sana ya zamani. Kazua siku moja kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Mangara Tabu alikuwa President wa Yanga na Ayubu Kiguru alikuwa shabiki mkubwa wa...
  10. DeMostAdmired

    Rafiki mjane Bibi John aliyekosa msaada, nasikitika sikumzika

    Salam ziwafikie JF members. Ni mwanamke aliyebarikiwa kupata watoto 5, wakike 2 na wakiume 3. Tuliishi katika Kijiji kimoja huko katika ardhi ya Mtemi Milambo mkoa unaosifika kwa zao la tumbaku. Rafiki yangu alikua ni mtu wa karibu sana na mama yangu mzazi. Aliachwa na mumewe Toka miaka ya 90...
  11. T

    Rafiki yangu kaniaminisha mwanamke aliye kwenye mahusiano huwezi kuchati mpaka saa nane usiku

    wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake. Jamaa wangu mmoja akajibu hivi. Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
  12. Mohamed Said

    Namkumbuka Baba na Rafiki Yangu Ahmed Rashaad Ali

    Mwaka wa 1952 Ahmed Rashaad Ali alimwandikia Gamal Abdel Nasser Rais wa Misri barua yenye kurasa sita kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa Zanzibar chini ya usultani. Rashaad alimuomba Nasser ampe kazi ya utangazaji katika Sauti ya Cairo ili aueleze umma wa dunia madhila ya ukoloni wa...
  13. KIBOD3

    Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  14. Girland

    Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  15. passion_amo1

    Pumzika kwa amani rafiki yangu na pole kwa familia nzima

    Wakuu habari za uzima? Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo. Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi. Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya...
  16. passion_amo1

    Nyota njema ilianza kuonekana mapema kwa rafiki yangu

    Ndugu zangu wana JF nafikiri wengi tulipata kusikia Msemo wa nyota njema huanza kuonekana mapema. Siku za nyuma kidogo nilileta uzi nilivyokutana na mwalimu wangu m- polish alikuwa akinifundisha biblia, sasa pale shuleni nilikuwa na rafiki tulikuwa tunafananishwa sura kasoro tu yeye alinizidi...
  17. Jobless_Billionaire

    Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  18. sky soldier

    Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  19. lusanasaimon

    Rafiki yangu yuko njia panda

    Nina rafiki yangu yeye amekuja kuniomba ushauri, iko hivi; Yeye (rafiki yangu) aliamua kuondoka kwenda mkoa x kujitafuta baada ya kumaliza kidato cha nne na kukaa mtaani kwao bila muelekeo wowote. Anasema Mungu si Athumani alipofika huko alijichanganya na kufanya shugli mbali mbali akafanikiwa...
  20. Makonde plateu

    Rafiki yangu home boy majuu amebadilisha jinsia na kuwa wa kike

    Mwanangu mmoja wa kitambo sana wa mzizima ambaye tulisoma wote shule.ya msingi forodhani then Azania halafu tukakutana nae tena kibaha sekondari ameni Dm leo X ya kwamba amebadilisha jinsia kisa eti maisha magumu Mwanangu long time ago alizamia south Afrika na now day yupo marekani kwahiyo...
Back
Top Bottom