Namtafuta kijana wa rafiki yangu

Namtafuta kijana wa rafiki yangu

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,085
Reaction score
15,197
Huyu kijana baada ya baba yake kufariki alikaa kwangu....
kwa kifupi baba yake alikuwa ni rafiki yangu sana,,,tulisafiri nae mikoa mbalimbali ya Tanzania kibiashara.....
HUyu rafiki yangu asili yake ni Uarabuni,,,,na huyu kijana wake mama yake ni mswahili kutoka huko mikoani tunakofanya biashara,,,,,
mPaka mauti yalipomkuta kijana wake alikuwa na umri wa miaka 17.......baada ya msiba wa babaye alikaa kwangu tukamfanyia mpango wa kwenda Uarabuni kwa ndugu za baba yake,,,
Kweli alifanikiwa kwenda Uarabuni,,,,,miaka hiyo Bongo biashara za Hiace ndio zilikuwa zinaanza,,,,
Ndugu za babaye walimzawadia Hiace moja,,,,wakampa fedha fulani ya Uarabuni yenye tamani sana,,,,aliiweka kwenye mfuko mdogo wa jeans......lakini fedha hiyo ilitosha kukomboa Hiace bandarini na kusajili na mambo mengine madogo madogo na chenji ikabaki,,,,,,
Kwa kumalizia baada ya biahsara ya Hiace kuchanganya akaniomba kwenda kupanga geto maeneo ya Tabata relini ndani ndani na Hiace ilikuwa inalala ofisi za CCM,,,,,
Basi tokea miaka hiyo sijapata mawasiliano naye tena,
Kwa sasa ishapita miaka kama 30 hivi...
Anyway
Popote alipo nampa salaaam
 
Ina maana huyo Kijana alikua hana mawasiliano na Mama yake wakati akiishi kwako?

Kama unazikumbuka namba za usajili wa hizo Hiace,itakua ndio sehemu ya kuanzia,utaangalia jina kamili la huyo kijana kwenye usajili wa hizo Hiace,ukimtafuta kwa jina lake kamili,itasaidia sana.
 

Attachments

  • 20250818_133523.jpg
    20250818_133523.jpg
    928.1 KB · Views: 39
Back
Top Bottom