Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!!
Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo yake tangu enzi.
Juzi hapa aliniambia ameshajaribu kuacha kupiga malaya miaka na miaka ila kila njia imegonga mwamba, amekuwa busy sana, kanisani ndio route zake na mazoezi sana ila anaweza vusha siku 3-5 hajapiga malaya yaan yuko busy na mkewe ila 6 lazima afike SHETEMBAA kutoa povu.
Nilimshauri awe anapiga kila dakika kwa mkewe pindi akihisi kwenda kununua au kila akitaka kutoka apige show ndio atoke, akajibu hilo amelifanya sana hadi mkewe akachukia.
Hili suala limekuwa shida kwake anashindwa namna ya kufanya maana mademu hataki sababu anaamini akiwa na mwanamke mwingine nje atamganda sana na mwisho ataharibu ndoa yake.
USHAURI WAKO TAFADHALI KUOKOA URAIBU HUU WA JAMAA NA RAFIKI YANGU.