Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

Rafiki yangu kaoa ila kashindwa kuacha kulala na malaya

Ni rafiki yako au ni wewe?
Be specific please
 
JF kila mtu hua ana leta malalamiko ya rafiki yake,

Kwani ukisema kua ni wewe kuna shida gani?
Umepiga kwenye mshono , mtu yyte anayekuja humu kusema sjui rafki yangu , mwanangu , mdogo wangu na blah blah kama hzo ujue ni yeye huyo Huyo wala usipoteze mda
 
Huyo ni ww mkuuuu kwanza uwezo wako wa kufanya ni goli moja
 
Kununua changudoa kunahitaji moyo mgumu.
Nilijaribugu mara moja tu mwaka jana, ila nasikia kichefuchefu hadi leo kila nikikumbuka. Aisee inahitaji moyo kwelikweli sitorudia hata ninyimwe vipi na mtu wangu
 
Wajomba jana hapa Mwanza Bar ya Bundesliga Nyasaka nilikutana na rafiki yangu wa muda mrefu sana, katika kupiga 1 moto 1 baridi akaanza kuniambia ABCD tangu alipooa.....!!

Huyu rafiki yangu tumezunguka sehemu nyingi sana site na kila kona chafu chafu za matrafiki wa usiku anajua na ndio michezo yake tangu enzi.

Juzi hapa aliniambia ameshajaribu kuacha kupiga malaya miaka na miaka ila kila njia imegonga mwamba, amekuwa busy sana, kanisani ndio route zake na mazoezi sana ila anaweza vusha siku 3-5 hajapiga malaya yaan yuko busy na mkewe ila 6 lazima afike SHETEMBAA kutoa povu.


Nilimshauri awe anapiga kila dakika kwa mkewe pindi akihisi kwenda kununua au kila akitaka kutoka apige show ndio atoke, akajibu hilo amelifanya sana hadi mkewe akachukia.

Hili suala limekuwa shida kwake anashindwa namna ya kufanya maana mademu hataki sababu anaamini akiwa na mwanamke mwingine nje atamganda sana na mwisho ataharibu ndoa yake.

USHAURI WAKO TAFADHALI KUOKOA URAIBU HUU WA JAMAA NA RAFIKI YANGU.
Mwambie zinaa inachafua hekalu ( mwili) na roho
 
Pia wanawake wanavhangia asilimia zaidi ya 80 wanaume kutoka nje ya ndoa,yani wanawake awaelewi wajibu wao kwenye ndoa,katika ndoa tendo la ndoa ndio kitu muhimu sana lakini wanawake waliolewa wanaleta mazoea ya kijinga kwa waume zao,kama hakuna tendo basi hakuna ndoa
 
Sex ni tatizo la wote. Ila mahitaji ya ndoa yanamnufaisha mume zaidi ya mke. Mke anaweza kunufaika pale mume anapofariki kama ataweza kurithi mali. Ila ndoa imetengenezwa kwa kumpa raha mwanaume na si mwanamke. Mwanamke anasimama kama maid na mfariji wa mume.
Sio kweli hii, kama ndoa yako iko hivyo omba divorce tuu
 
Back
Top Bottom