Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

Namtafuta rafiki yangu 'Rehema Abdallah Moris' alikuwa anaishi ghorofa za shekilango (NHC),Dar es Salaam.

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari waungwana!
Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu.

Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo hayo pia alikuwa anakuja kwetu manzese.

Huyo binti nakumbuka alienda kusomea ualimu wa shule za msingi kwenye chuo kimoja kipo mtwara baada ya hapo akapangiwa kazi wilaya ya kilosa mkoani Morogoro
 
Kama mtu ulimfahamu hadi mama mkwe wake unashindwaje kumfahamu ndugu yake hata mmoja tu Ambae angekusaidia kujua alipo?
 
Habari waungwana!
Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu.

Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo hayo pia alikuwa anakuja kwetu manzese.

Huyo binti nakumbuka alienda kusomea ualimu wa shule za msingi kwenye chuo kimoja kipo mtwara baada ya hapo akapangiwa kazi wilaya ya kilosa mkoani Morogoro
Akaja kuingia kwenye ndoa na kuzaa watoto mapacha,mama mkwe wake alikuwa anaishi Dodoma ,ndoa yake iliingia kwenye migogoro mingi sana Rehema akawa ananisimulia anayopitia kwenye ndoa mwishowe ndoa ilivunjika.
Mara ya mwisho tunawasiliana alikuwa na mpango wa kuhama toka Morogoro kuja kufundisha Dar es Salaam nafikiri ilikuwa wilaya ya Temeke.
Kwasasa mimi sikai Dar es Salaam naishi kigoma.
Nimemtafuta sana.............na naendelea kumtafuta.
Siombei nije kupata rafiki ambae hata kwa kunitafuta basi atumie njia ya kutoa taarifa zangu binafsi ambazo nisingependa ziwe public

sometimes jina linatosha na sio kumwaga kila kitu, utafutaji uzingatie taarifa binafsi za mtu
 
Mbona kama umetoa too much information ? Nadhani paragraph ya kwanza tu ingetosha hayo ya ndoa yake na matatizo ya kwenye ndoa yake na kwamba alikuhadithia nadhani hayahusiani sana na wewe kumpata au kutokumpata zaidi ya kukuona kwamba huwezi kuweka faragha mambo ya faragha...
 
Kumbe wewe ndio uliyempatia ujauzito binti yangu ukamtelekeza? Afadhali umejileta, nakupeleka mahakamani
 
Back
Top Bottom