Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.
Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power
Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi.
Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo tapeli nitakupenda na kukujari🙏🏿
Kama mada inavyojieleza
Hii hali imenishangaza sana. Nina marafiki wengi wa kike na kiume wenye umri unaocheza miaka 35 mpaka 37 wengi wao ndoa zao zimevunjika na nyingine zipo ICU
Wengi wa marafiki hawa walioa baada ya kumaliza vyuo tena kwa mbwembwe nyingi leo hii ndo zimesambaratika na wengi...
Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU.
👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila siku lakini huna nafasi wala uamuzi wa kuchagua ndugu,kwamaana ndugu yako ni mtu yeyote yule...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
Ndoa ni taasisikama serikali.
Mwanaume kazi yako kulipabills tamka kodi,mwanamke kazi yake kula kodi,
Mwanamke hakupendi bure anatafuta security au kukula hela zako.
Mke sio rafiki bali ni beberu mla kodi zako ,j
Rafiki wa kweli ni njaa tu,ukiwa huna hela ndio anazidisha kuwa karibu na wewe,bora...
My weekend is wacko.
Kuna watoto wazuri wa rafiki yangu watakaa na mimi mpaka katikati ya Nov. ila sijui nisemeje nisionekane wicked aunty ila wamekuja J nne na tayari niko super stressed na Nov. naiona mbali sana
Stress zilianzia kwa jinsi mtoto wangu hataki ku share Tv yake na wenzie sbb...
Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video?
Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia
Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa
Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo
Nimeweka na kielelezo
Dominika njema
Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara, wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake. Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda mrefu, lakini kukatokea na kutoelewana na wenyeji wake wakiwemo wazazi na mashemeji kuhusiana na hilo...
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure
Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho...
Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako.
Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema.
Labda kama kuna mawazo mengine.
muwe na siku njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.