rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kama Tanzania haifungamani na upande wowote, kwanini hatununui mafuta ya Bei rahisi Urusi?

    Nianze Kwa kutoa pole kwa changamoto za kuishi! Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na taarifa kuhusu kupanda Kwa Bei za mafuta na gesi duniani, huku Urusi, Moja ya wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi akishusha Bei ya bidhaa hizo ambapo mataifa makubwa, ikiwa ni pamoja na Yale yaliyomwekea...
  2. namimi07

    Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

    Jamani habari zenu wadau? Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/...
  3. flamini

    Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

    Habari, Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit. Msaada wakuu
  4. demigod

    Kwanini ni rahisi kwa Mwanamke kusamehe usaliti kuliko Mwanaume?

    Habari wana jamvi? Kama mada inavyojieleza hapo juu. Napenda kufahamu kwanini Mabinti wengi wanao nipata nikiwacheat ni wepesi sana kusamehe na kusahau kuliko mimi ambaye nikimkuta binti ana makando kando huwa ni mara moja anapotea katika ulimwengu wangu. Yaani hata nijaribu vipi kumpenda tena...
  5. heartbeats

    Amepima akakuta ana damu nyingi. Njia ipi ni rahisi ku-level damu?

    Wakuu msaada kwa ilo ni njia ipi rahis ya kupunguza wingi wa damu ukiacha ile ya kuchangia damu. Jinsia yake ni Ke,
  6. Meneja Wa Makampuni

    Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

    Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi. 1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
  7. TECNO Tanzania

    Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  8. kali linux

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya starehe za bei rahisi na kuongezeka kwa umasikini, the reverse is also true

    Hello bosses Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao. Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
  9. M

    Rais Samia akiri miaka 45 ya CCM ndani ya 30 ya Upinzani haijawa rahisi

    === Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa, Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
  10. M

    Ufugaji Nguruwe Kibiashara sio rahisi ila unawezekana🙂

    Habarini za mwaka mpya wana Jf! Baada ya muda mrefu kuto post makala humu (nimekuwa busy kwenye media zingine kama instagram, utube,whatsap,telegram..),acha leo nichangie kidogo maana nimeona post nyingi kuhusu ufugaji nguruwe zenye mapungufu. Wakongwe wa Jf watanikumbuka maana nime post sana...
  11. Satoshi Nakamoto

    Utitiri wa One za point 7: Je, wa zamani tulikuwa vilaza au elimu imekuwa rahisi?

    Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote. Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu: 1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
  12. K

    Wizara ya Mifugo na Uvuvi wekeni utaratibu rahisi katika kutoa vibali vya kusafilisha vitu nje ya nchi

    Baada ya kurejea nchini, matumaini yangu na nguvu ya kuitumikia Tanzania yalikua makubwa kweli, Nilijaribu tafuta ajira kwa kipindi cha mwaka mmoja bila mafanikio, nikaamua kuanza kujiongeza kwa kutumia uzoefu wangu wa nje hasa katika e-commerce huku nikilenga kushirikiana na wajasiliamali wa...
  13. K

    Kipi kimesababisha kazi ya kudanga kuonekana rahisi kuifanya

    Utakuta mtu yuko chuo mwaka wa kwanza tayari keshaanza kupiga mzigo udangani Mwingine yuko 39yrs kaachwa na mmewe kwa sababu ya uzee ndani ya siku 2 tayari keshajiingiza kwenye udangaji Mwingine sasa kakosa hela ya kununulia mafuta ya kukuza nywele tayari keshaingia mzigoni udangani Kipi...
  14. sky soldier

    Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  15. THE FIRST BORN

    Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  17. GENTAMYCINE

    Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  18. GENTAMYCINE

    Kwa jinsi zilivyo rahisi kupatikana mwakani nategemea kuwatunuku Mbwa na Paka wangu PhD's za Utiifu Kwangu

    Kwakuwa Siku hizi kupatikana kwa PhD's ( Doctorates ) ni rahisi nchini Tanzania mwakani GENTAMYCINE nami najiandaa Kukiomba Chuo Kikuu Kimoja ( siyo cha Genius cha SAUT ambacho nimesoma na Kupikika vyeka ) kuwatunuku ambapo nitalipia pia Mbwa wangu Kipenzi aitwae Baitekon na Paka wangu Rafiki...
  19. sky soldier

    Darasa huru: fungua website / tovuti yoyote iliyofungiwa, ni njia rahisi ya moja kwa moja.

    Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio...... - Download Opera browser - Ingia kwenye menu - Ingia...
  20. Joseverest

    Fahamu magonjwa ya akili madogo madogo ambayo sio rahisi kujitambua

    Magonjwa ya Akili ni Nini na husababishwa na Nini? • Magonjwa ya akili ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikira na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Magonjwa ya akili yanaweza kusababishwa na sababu za...
Back
Top Bottom