Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'
Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na...
Juzi nilikutana na mwanafunzi wangu ambaye kwa Sasa ni Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tulijadili mambo tofauti Ila Moja ya kilichomfurahisha ni namna alivyoaminishwa ni vigumu kwake kuwa Jaji lakini Katika ugumu huo akajikuta jina lake lipo KWENYE vyombo vya habari ameteuliwa Katika...
Wadau mimi binafsi sijawahi kuwa mpenzi wa simu. Nimekuwa na simu simple tu sababu matumizi yangu makubwa ya simu ni Internet na Camera. Sina mambo mengi.
Nimepata wazo la kuwa na simu ya kichina ambayo itakuwa bora kwa bei nafuu isiyozidi tsh 400,000 simu ya uchumi wa kati. Naombeni ushauri...
Habari za wakati huu,
Kila biashara huwa inakuwa na aina mbili za shughuli kwa kutegemea sector yake.(Nitachanganya lugha)
Function za kwanza zinaitwa CORE FUNCTIONS(Shughuli za msingi ambazo hasa ndo zinafanya biashara iwepo yaani ndo zinaingiza pesa au kutengeneza value)
Function za pili...
Kwa Propaganda Machine iliyoko Yanga SC kwa Usajili wa Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata vya Mbinguni kwake Mwenyezi Mungu kutoka nchini Hispania kulihitajika kuwe na Taarifa ya Kushtua na kufanya Counter ili kuweka Mizania na kuhamisha Fikra za Watu na Stori...
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza masomo ya lugha, utamaduni, hisabadi yanayotolea na walimu wa nchi mbalimbali kupitia mtandao wa...
Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa.
Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
Nimekuwa nikifuatilia mada za watu wenye changamoto katika mahusiano wakihitaji ushauri.
Cha ajabu majibu mengi hayana uhalisia utasikia",piga chini","mrudishe kwao""muolee mke wa pili"etc,hayo majibu ya wadau wengi,ila ukweli kumuacha mke unayempenda sio rahisi hivyo tusidanganyane.
Hao...
Naombeni msaada maana naona kama hapa kuna shida. Jamaa kajichorea watu na kaandika jina la mtu mmoja kuwa ni Kiwete.
Polisi wanasema kakosea huyo siyo Kiwete ni Kikwete. Na huyu anayechezea maji kwenye beseni wanasema ni Rais Samia.
But mchoraji yeye anasemaje? Kwanini wao waone hivyo na hii...
Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim.
Lakini ukweli ni zaidi ya hapo.
Unajua hizi pia ni sifa za masikini?
1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali.
2/uvivu
3/kuridhika na ulichonacho
4/kushindwa kua tofauti na wengine.
5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje.
Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
Mzuka wanajamvi!
Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana.
Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona.
Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits.
Kazi za kubeba...
Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha).
Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
*Bei Rahisi
*Vifaa vyenye ubora
*BRAND TOFAUTI TOFAUTI
Cordless drill
Jigsaws, circular saws.
Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa.
TUPO KKOO
MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU
Piga 0788622610
Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu.
Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.