Hello!
Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao.
Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so.
Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...