rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  2. Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  3. Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  4. Mbinu rahisi za kuwafikia wateja wa kike ni zipi?

    Mimi na biashara yangu ya viatu vya shule, wateja wengi ni wamama wenye watoto mashuleni. Sasa nawaza nitumie mbinu gani ili wamama wengi wanijue au waone biashara yangu.. wenye mbinu tafadhali nisaidieni. Na Mungu atawabariki.
  5. Mazoezi rahisi yakujenga uwezo wa kumbukumbu

    Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku. Namna ya kukumbuka ndoto. Je unaota ndoto na unasahau?. Fanya meditation ya Namba. Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota. Sasa unaweza kurudisha...
  6. A

    Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  7. Hizi ndio sababu kwanini ni rahisi kwenda mbinguni kuliko motoni

    1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu unaweza kuwa muovu miaka yako yote ilq sekunde moja tu kama mwizi msalabani ukasema Unikumbuke katika...
  8. Wadada acheni kupandikiza mashepu na lips za bei rahisi, nimemuona mmoja ninayemfahamu hapa Sinza kawa kituko kabisa

    Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa) Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
  9. Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  10. Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
  11. Ni rahisi mno kuzini na ex wako. Kama upo kwenye ndoa kaa Mbali na hao watu, ni hatari

    Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au uhasama mkubwa. Kila mkionana miili yenu na roho zenu zitashabihiana. Haijalishi miaka mingapi...
  12. Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  13. Misafara mirefu ya wakubwa siyo rahisi kuiepuka serikalini na kanisani

  14. Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

    Habarii natak mwaka huu niingie mwenyewe chaka kwenda kufunga mzigo wa mchele na kuja nao hapa dar Naombeni muongozo wenu fremu ninayo mombasa ipo sehem yeny mzunguko mkubwa wa watu pia ni karib na lami ko wateja sina ila kutokana na location naamin sitahangaika sana kutafuta wateja wa kuanza...
  15. Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

    Picha inasomeka na inaelezea Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu. Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake. Monde...
  16. K

    Rais Samia katuwezeshea Watanzania ujasiri wa kuhoji na kukosoa bila kuogopa kiasi kwamba ni rahisi kumkosoa Rais kuliko Mbowe

    Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nisipompongeza kiongozi wetu shupavu Rais Samia kwa kutufikisha kwenye ujasiri huu. Rais...
  17. Mama na Baba kuishi Pamoja ni rahisi kuwasaidia na kuwahudumia kuliko Wakitengana.

    MAMA NA BABA KUISHI PAMOJA NI RAHISI KUWASAIDIA NA KUWAHUDUMIA KULIKO WAKITENGANA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Fainali ya uzeeni naiona kwa wengi ikiwapiga Knockout Matata. Kuna kilio cha mbuzi Mee naliona kinakuja kwa waliowengi. Nilisema, wewe kama kipato chako upo chini ya milioni...
  18. Top 5 Most Secure Smartphones in the World

    Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones, being an integral part of our daily lives, often store sensitive information ranging from personal...
  19. Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  20. Ni rahisi sana kucheza na akili ya mswahili kutokana na kuamini sana ushirikina

    Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina. Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake 😃 Akija kuona atachanganyikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…