raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Diversity

    KWELI Baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaji mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi Machi 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
  2. Lady Whistledown

    Wanajeshi wa Burkina Faso wanadaiwa kuua Raia takriban 40

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo yamelishutumu jeshi kwa kuwaua zaidi ya watu 40 kaskazini mwa nchi hiyo na kusema kuwa kumekuwa na visa vingi vya utekaji nyara na vifo vinavyohusishwa na Wanajeshi hao Katika matukio tofauti miili ya watu inadaiwa kukutwa barabarani kati ya...
  3. MK254

    Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  4. Lycaon pictus

    Raia wa kawaida ninaweza kuitwa na kamati ya maadili ya TFF?

    Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
  5. JanguKamaJangu

    Mali: UN yasema waliohusika mauaji ya raia 33 ni Wanajeshi wa Mali na Mgambo wa Urusi

    Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali. Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea...
  6. JanguKamaJangu

    Jeshi la Burkina Faso lakiri kuua raia kimakosa katika mashambulizi dhidi ya Waasi

    Jeshi la Burkina Faso limekiri kuua raia wa kawaida kwa kimakosa katika mashambulizi yake ya anga Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo wiki hii. Nchi hiyo ya Afrika Magharibi imekuwa ikipambana na waasi wenye silaha baadhi wakihusishwa na makundi ya Al-Qaeda na ISIL (ISIS). Jeshi hilo halijataja...
  7. The Festival

    SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  8. USSR

    Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo. Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
  9. JanguKamaJangu

    Rais wa Ukraine, Zelenskiy atangaza zoezi la kuondoa raia katika Mji wa Donetsk

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy ameamuru raia waliopo katika Mji wa Donetsk kuondoka haraka kutokana na kuendelea kwa mapigano kati ya Wanajeshi wake dhidi ya vikosi vya Urusi. Zelenskiy ametoa maagizo hayo katika taarifa yake fupi ya video, akisema kuwa Serikali yake itawasadia wote...
  10. Lady Whistledown

    Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
  11. U

    Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga. Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi. Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
  12. S

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa yathibitisha majeshi ya Ukraine kutumia raia kama ngao za kivita

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
  13. L

    “Uwatendee Raia Kama Wazazi Wako” - Rais Xi Jinping wa China

    Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya sektretarieti ya Kamati Kuu ya Chama alikwenda nyumbani kwa mwanakijiji Tang Shaowei kuwapa pole “Ni lazima...
  14. Lady Whistledown

    Raia waandamana kupinga utawala wa Kijeshi Sudan

    Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
  15. Lady Whistledown

    Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  16. Lady Whistledown

    Japan yawataka raia milioni 37 kuzima taa kukabiliana na wimbi la joto na uhaba wa umeme

    Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
  17. L

    Mdundo wa juu wa "Dawazi" waboresha maisha ya usiku ya raia

    Tarehe 21 Juni, Saipura Jumaikare mwenye umri wa miaka 19 alishikilia nguzo ndefu na kutembea kwenye kamba ya waya iliyojengwa kati ya majengo katika mtaa wa chakula wa Grand Bazaar huko Urumqi, China.
  18. EINSTEIN112

    Raia wa US anayepigana Ukraine auawa

    Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa. Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia," Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa...
  19. beth

    Burkina Faso: Jeshi lajipanga kudhibiti mashambulizi, raia watakiwa kuhama

    Jeshi limewataka raia kuondoka katika maeneo yanayotajwa kuwa na maslahi ya kijeshi katika Mikoa ya Kaskazini na Kusini Mashariki mwa Nchi hiyo kabla ya oparesheni zinazolenga kudhibiti ghasia kuanza. Maafisa wa Jeshi walioongoza Mapinduzi na kuiondoa Madarakani Serikali iliyochaguliwa...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
Back
Top Bottom