raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  2. beth

    Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
  3. Webabu

    Wizara ya Ardhi isitafute visingizio kuibia raia

    Katika miezi ya karibuni mahakama za ardhi kwa kushirikiana na maafisa ardhi wa miji na majiji wamekuwa wakifungua kesi kwa wamiliki wa majengo na viwanja. Kinachofanyika ni ofisi za ardhi kutengeneza madai ya miaka mingi nyuma ambayo wao hawajarekodi kwenye mifumo mipya ya wizara. Mteja...
  4. Gama

    Raia wa US akiri kufundisha Jeshi la Wanawake wa IS

    Mwanamama Allison Fluke-Ekren raia wa marekani amekiri kushiriki katika kutoa mafunzo kwa jeshi la wamawake wa IS. Iwapo atatiwa hatiani anaweza kufungwa hadi miaka 20 jela FUATILIA HAPA US woman admits to training all-female IS battalion AUS woman has confessed to leading an all-female...
  5. Gama

    Raia wa Urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea

    Raia wa urusi ni wahanga wakuu wa vita inayoendelea sasa, awali waliaminishwa kuwa vita ina nia njema ya kuikomboa nchi dhidi ya wanazi na kuwa itachukua muda mfupi lakini sasa haijulikani itaisha lini FUATILIA HAPA As war drags on, weary Russians yearn for a return to normal life Robyn Dixon...
  6. Lady Whistledown

    Mfahamu Raia wa Nigeria aliyesafiri kutoka London hadi Lagos kwa Pikipiki

    Kunle Adeyanju (44) aliondoka London mnamo Aprili 19 na aliwasili jijini Lagos Mei 29 baada ya kupita zaidi ya kilomita 13,000 (maili 8,000) katika nchi 13 zikiwemo Ufaransa, Hispania, Morocco, Mauritania, Senegal, Mali, Burkina Faso, Ivory Coast, Ghana na Benin Lengo la safari hiyo lilikuwa...
  7. BigTall

    Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  8. figganigga

    Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  9. BigTall

    Marekani: Rais Biden asaini amri itakayowawajibisha Polisi wanaowatesa raia

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu. Mabadiliko hayo yanalenga...
  10. B

    Raia wa Malawi walalamika kufanyiwa unyama Tanzania

    20 May 2022 Dar es Salaam, Tanzania Kufuatia mfululizo wa vitendo vya kikatili dhidi yao, raia wa Malawi walalamika juu ya baadhi ya waTanzania kuwafanyia ukatili ukiwemo mfululizo wa mauaji. Wakielezea kwa uchungu kuwa sasa sifa ya waTanzania inaanza kuchafuliwa na vitendo hivyo vinavyofanywa...
  11. Q

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

    Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni. Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu. Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
  12. Bushmamy

    Tanganyika :Wakazi wa Mishamo walalamikia kukosa Uhuru kama Raia wengine

    Wananchi katika makazi ya Mishamo katika Mkoa wa Katavi, yenye vijiji kumi na sita (16)wamelalamikia uongozi wa mkuu wa makazi kuwakosesha uhuru wa kufanya chochote na kujiona bado ni wakimbizi ilhali walishapewa Uraia. Baadhi ya viongozi wa vijiji hivo wameeleza kuwa hawana uhuru wa kutoka...
  13. M

    Raia wa Marekani wamekiri kuwa vikwazo walivyowekewa Urusi vinawaathiri wao zaidi kuliko Urusi

    Raia wa marekani wamejikuta wao ndio wamekuwa wahanga wakubwa wa vikwazo alivyowekewa urusi. Pesa ya Urusi imeongezeka thamani baada ya vikwazo kuliko ilivyokuwa kabla ya vikwazo. Hii ni kinyume kabisa cha matarajio ya nchi za magharibi. Wakati huo huo pesa ya marekani imeshuka thamani kwenye...
  14. BigTall

    UN: Raia wa kawaida waliouawa Ukraine ni zaidi ya 3,000

    Umoja wa Mataifa (UN) kupitia kitengo cha Haki za Binadamu imetolewa taarifa kuwa idadi ya vifo vya raia wa kawaida wanaofariki katika vita Nchini Ukraine imezidi 3,153 tangu kuvamiwa kijeshi na Urusi, Februari, 2022 Imeelezwa kuwa vifo vingi vimetokana na mashambulizi ya makombora ya ardhini...
  15. MakinikiA

    Wanasubiriwa raia watoke katika kiwanda cha vyuma Mariupol kisha vitu vizito vya Urusi vinadondoshwa kwa askari 2000 wa Ukraine waliopo

    Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
  16. JanguKamaJangu

    Asilimia 90 ya wakazi wa Afghanistan wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Raia wa Afghanistan wamesherekea Sikukuu ya Eid, Mei Mosi huku wengi wao wakiwa na tatizo la njaa. Umoja wa Mataifa (UN) imeeleza kuwa zaidi ya asilimia 90 ya raia wa taifa hilo wanakabiliwa na uhaba wa chakula tangu uongozi wa Taliban uliposhika madaraka Agosti 2021. “Nani atanipa fedha au...
  17. Mr Dudumizi

    Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  18. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  19. OLS

    Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  20. kookaburra

    Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

    Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake. Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
Back
Top Bottom