Raia wa Marekani anayepigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine ameuawa.
Stephen Zabielski, 52, "alifariki siku ya Jumapili, Mei 15, 2022, wakati akipigana vita katika Kijiji cha Dorozhniank, Ukrainia,"
Habari hizo zilikuja baada ya Wizara ya Mambo ya Nje kubaini Mmarekani wa tatu kuwa...